kipanya kikila boda kwa mkwara wa taa baada ya kuona foleni haiendi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hawa daladala nao wamezidi ndio maana wengine wanawadito!Sasa yeye wanaofuata sheria za usalama barabarani anawaona wajinga,harakaharaka haina baraka atawatoa abiria kafara punde si punde!
    Joel.

    ReplyDelete
  2. Bw.michuzi ukijitahidi kutumia kiswahili chenye kueleweka itakuwa uzuri mno!Au kama waona kiswahili fasaha kinakutatiza itabidi uwatafute wasanifu wa hiyo lugha kama kina mzee Hamisi Akida ili wakusaidie.Ahsanta!YUSRA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...