jk akiwa shoprite pale nanihii ya mlimani hususan kwenye sehemu ya misosi aligundua kumbe hata kitimotoz kipo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. C'mon hii kitu iko bomba sana maustaaz wa znz wanaipenda sana, Julius Nyaisanga upo,usikose ya jumamosi ijayo...Mambo ya Kitimotozzz Chazzz Hilary!!!!

    ReplyDelete
  2. Lol, anony wa kwanza kama nakufahamu vileeeeeeeeee

    ReplyDelete
  3. Hapa kuna misosi ya chee, mkate wa brown unapatikana kwa Tsh 230 tu, na hayo manyama nyama na manguruwe ya South Africa pia yanauzwa kwa Gram kadri unavyojaziwa ndio unavyolipa zaidi, hapo kuna kuanzia macarone, supagheti,sausages,bacon, chevon, mutton, pork, lard, polons, vyuku, viazi, chips, sambusa, meat rolls n.k

    ReplyDelete
  4. tusubiri tuone matokeo ya majunk foods,mavyakula mabovu mabovu yasiyo na viwango,Amerika,ulaya,south Afrika ina matatizo makubwa ya watu kunenepeana ovyo na magonjwa ya kisukari na moyo,wabongo tuwe macho na huu 'utando usio na uwazi' au utandawazi,Rais asifurahie hili,wananchi watakwisha.Wabongo tusibadili utamaduni wa vyakula vyetu hivyo vina thamani kubwa mwilini,ingawa tunahitaji utafiti zaidi wa kujua thamani ya vyakula tunavyokula.

    ReplyDelete
  5. Tutanunua hata nyoka na mamba toka Sauzi, nini kiti moto. Wabongo tusiwe washamba, vitu (vyakula) vya sokoni Kariakoo ndio bomba kuliko hivyo ambavyo ni genetically modified. Nunueni vitu vyetu wenyewe ambavyo ni organic.

    ReplyDelete
  6. Naomba nulize swali,hivi bidhaa za Tanzania zikowapi? mboni siku hizi kila kitu ni "Imported?" wizara ya viwanda inafanya nini?;sabuni,sausages kila kitu imported,halafu watanzania tunachekelea tunaona ndio maendeleo.

    ReplyDelete
  7. bidhaa za tanzania zipo tena zipo nyingi tu.hizi mbili tatu zinazotoka afrika kusini na kupigwa picha kwenye gazeti zisikusahaulishe kuwa asilimia 80 ya watanzania wanakaa vijijini na huko hakuna shoprite!hata wakazi wa mijini wanatumia zaidi bidhaa za tanzania.kuna wachache sana wanaoweza kuafford hizi imported goods.

    ReplyDelete
  8. Kwa hiyo hutaki tuonji ladha ya mamtoni tukiwa bongo!!?, wengine hatuna tunauli na tuvisa twakwenda Jb!! Hongera Kikwete!!!

    ReplyDelete
  9. Anony wa 7:35:55 PM Pengine tunafahamiana embu nikumbushe zaidi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...