mdau mwanazuoni bonifasi makene yupo bongo na hapa kwenye picha hii ya semina ya mkurabita ambayo imefunuliwa sasa hivi pale kempinski na jk, yupo. hebu mtafute...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. mwambie tunamkaribisha sana bongo.

    kutokana na wingi wa watu sidhani kama itakuwa ni rahisi kuonekana.ila kama yupo mwambie karibu sana kwa niaba ya wana blogg.

    ReplyDelete
  2. Huyo mama Albright aliyekuwa waziri wa Mambo ya nchi za nje wa Marekani ni mama mwenye akili sana na huruma nakumbuka hata mkomunisti nyerere alipokufa alikuja kushuhudia kama kweli kafa na akasema Nyerere kweli kafa.

    Tunamwuomba na Huu mradi wa Mkurabita atusaidie kutuambia kama kweli unasaidia wanyonge.Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.Mama tusaidie maana yake wengine hatujui kinachoendelea zaidi ya kuwaona viongozi wenye furaha kubwa baada ya kula vyakula vitamu hoteli ya Kempiski wakiwa kwenye picha na wewe.

    ReplyDelete
  3. nyerere hakuwa mkomunisti. Itikadi yake ilikuwa ya ujamaa, iliyokuwa na vionjo vya mfumo wa maisha ya waafrika kabla ya ukoloni.Itikadi yake haikufuata ukomunisti wa Kisovieti.

    ReplyDelete
  4. kama sikosei makene yuko mstari wa nyuma kabisa katika usawa wa kati ya jk na ben.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...