jk akipiga stori na jean pierre bemba, kinshasa. ikumbukwe jk alipokuwa waziri wa mambo ya nje ndiye aliyeweza kumshawishi jp bemba kutoka msituni na kukaa kwenye meza ya mazungumzo ya amani. alimtembelea mgombea huyu wa urais drc juzi kwa kofia ya mwenyekiti wa kamati ya usalama na amani ya nchi za sadc

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Michuzi,kama JK angekuwa anawatembelea akina Lipumba mzee wa ntimanyongo,Mrema mzee wa kuhamaki,mmmmmm maalim sefu wa zenji natumai wangekuwa kimyyyaaaaaa

    ReplyDelete
  2. Hii ni sebule au Godown(ghala).Maana yake lilivyojaa vitu utafikiri godown la mhindi hata hewa fresh hakuna.Afadhali kibanda changu cha kule Kimanzichana kina vitu vichache ndani hewa fresh yazunguka kila upande sivuti hewa inayozalishwa na air condition.Mwanga mwingi fresh toka nje unaingia. sihitaji mwanga wa Umeme wa Richmond Mchana kama Godown la Bemba!Ala! kumbe ninaimba wimbo wa kindengereko.Samahani Bemba sikujua wewe ni mkongo unayependa magodown na masuali makubwa ya kuvalia shingoni.

    ReplyDelete
  3. Wacha ushamba hiyo ni family room.Watu wengi wenye hela wanakuwaga na family room na hii jinsi ilivyokaa inaonekana ni basement kwake...

    ReplyDelete
  4. Kama ukiwa mpinzani mambo yanakuwa safi hivi kama kwenye sebule ya Bemba nadhani Tanzania kila mtu angekuwa mpinzani na angejiunga na upinzani.Lakini hapa Tanzania hatari, ukiangalia mahali anapolala kiongozi wa upinzani huna haja hata ya kujiunga naye.Unaogopa kunguni wa umaskini wa mwenyekiti wa Chama wasije wakakuuma.

    ReplyDelete
  5. Bemba persevere in defeat
    Summon the political will
    To stand up and fight gain:
    That is démocratique essence!

    Killing DCR-ians
    Stealing DRC minerals
    To build mansions;
    Twa (Mbilikimo)already victims
    Of a brutal civil war
    Now losing their forests
    To loggers supplying teak
    For Bemba's mansion!

    Cry, my beloved Matonge,
    For the nouvelle riche élite
    Has forsaken you;
    In your beloved Kinshasa!

    ReplyDelete
  6. eti hii ni family room, living room, den, multimedia room, or something else?

    ReplyDelete
  7. Yani sebule haina class kabisa , utadhani ni zile sebule Big screen na makochi meusi ya ledha ..ghetto!

    ReplyDelete
  8. Mi nilizani wako ndani ya bunker.
    Hiyo haiwezi kua sebule ya jumba

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...