Home
Unlabelled
burundi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hey! hebu tueleze mbona kama wameweka bendera yetu kwenye hilo carpet nyekundu? Ninauhakika hiyo ni bendera yetu huko Congo?
ReplyDeleteHayo ndo maendeleo sasa, sio mawaziri wetu kutumia ndege za jeshi kwenda nazo Tabora
ReplyDeleteHivi kilichomshinda huyo Mama Wa Kiislamu kuvaa kitenge cha heshima na kutuonyesha size ya nyonga zake nini hivi hizo semina elekevu maana yake nini huyu mama ni waziri wa serikali na yuko hapo kumwakilisha rais kuwalaki wageni wa nchi na rais yaani hakuweza hata kufikiri kujistiri kidogo mwone Ngasongwa kenda kumpokea rais wa Comoro kapiga na bakalshia sasa yaani tufanye hata semina nyingine huko ngurdoto kufundishana mavazi
ReplyDeleteanony wa kwanza kabisa juu.jamani sio kukosoana tu..yaani umesoma kitu gani kinaendelea hapo au umetaka kukosoa bendera tu.au ndo mambo ya patron n'weed!!acha mambo yako ulitaka waweke bendera za wapi hapo
ReplyDeletekweli huyo mama ndio anajua watu wake wanashida,kaja kwenye kajamba nani.huo ni mfano mzuri kwa wengine
ReplyDeletewewe acha maneno.... hizi picha za michuzi kachanganya mara congo mara tz. Ndio maana niliania tuko bado congo kumbe tumerudi bongo. Wabongo kila kitu mnafikiria vingine...wewe i wish ningekujua ndio mchawi ukiyeko hapa kwenye michuzi kila kitu kwako kinasbabu pumbafu wewe.
ReplyDeleteMICHUZI KELELE ZOTE TULIZOPIGA KUHUSU BENDERA YETU KUKANYAGWA BADO TU WANAIKANYAGA? AU MZEE MZIMA HUFIKISHI MALALAMIKO YETU?
ReplyDelete