Home
Unlabelled
chuwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ulinzi mkali wa nini wakati wanasema Kabila kachaguliwa kwa kura nyingi ikiwa na maana anapendwa na wengi.
ReplyDeleteViongozi wengi wa Afrika hujidai wanapendwa sana na watu na wamechaguliwa kwa kura nyingi lakini ukiangalia ulinzi mkali walio nao,na ukaona misafara yao inavyopelekwa na askari kila upande,Na ukaangalia ulinzi wa kuingia Ikulu zao,Utapata ushahidi tosha kuwa hawapendwi na wengi kama wanavyodai na muda mwingi wanaishi kwa hofu ya kupinduliwa saa yoyote.
Ushindi wa kura ni kiini macho tu katika Afrika hakuwakilishi hali halisi ya mambo.
Jamani butu la mlinzi limechoka hilo ila bora linang'aa kiwi
ReplyDeleteJamani mbona tuko nyuma hivyo? Ulinzi kwa kiongozi yeyote wa kitaifa na biashara ni muhimu sana, kwani wao ni decision makers, na kichwani mwao kuna siri nyingi sana za kitaifa. Pia uzembe ktk ulinzi unaleta unyofu ktk kazi na hata blackmailing. Hio picha kwa mie kama mtaalamu wa ulinzi sioni chochote cha maana: Hakuna metal detectors(milango inayoX-Ray vyuma mwilini), askari (na sio security officer) anayo bunduki mgongoni na terrorist anaweza kunyang`anya na atakuwa ktk inner circle tayari. Hakuna itemiser (mtambo unaochukua kwa upepo chembechembe za explosives tofauti ktk mwili/nguo za huyo anaye pekuliwa). Pia inabidi kuwe na distance kati ya wapekuliwa. Askari huyo amezungukwa na watu kibao na sioni security camera hata moja around sidhani kama ana kifaa cha mawasiliano( utumbo wa microphone sikioni siuoni!).Wale walioingia office za State Department (US of course) wanaelewa nasema nini. Makampuni ya kimataifa yanatumia up to 25% ya profit zao kwa security. Viongozi wa nchi za Africa inabidi waende na wakati. Mtu mmoja tu mwenye matatizo yake asipewe nafasi to eliminate kiongozi.Hata nyumbani sio wote wanakubaliana na maswala yote ya family! Viongozi wangapi wameshauwawa......
ReplyDeleteChuwa ungempa jamaa huyo franc mia tano ungepita kilaini bila usumbufu au lingala ilikupa shida anyway hao walinzi wa rais na hapo ilikuwa sehemu nyeti lazima wakukague! bahati sikuweza pata nafasi ya kukutana na bwana michuzi nikiwa safarini brazaville .. ila naamini kabisa amejionea mwenyewe jinsi Kinshasa ilivyo na vituko vyake.
ReplyDeleteWAJAMENI HUYU Chuwa NDIO NANI? WENGINE HATUMJUI, TUNAOMBA JIBU, MICHUZI. ASANTE.
ReplyDelete