jk aliyatolea dole mabango mengi yaliyokuwa na ujumbe mzito kama huo hapo juu, na alizikemea ngo ambazo zinaenda kinyume na kanuni kwa kunufaisha viongozi wake badala ya walengwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Haya Rais msanii pesa za Ukimwi hizo zinakuja. Mtazitumia kweli kwenye mambo ya ukimwi?

    ReplyDelete
  2. Zote zinaishia kwa mshahara wa meja generali mstaafu lupogo! Mshahara wake na urasimu uliopo unaweza kutunza karibu wagonjwa 50 au zaidi kwa madawa ya kuendeleza na kulinda maisha (antiretroviral medications) pamoja na kudhibiti chakula bora chao. Kuna urasimu mkubwaaaaaaaaaaaaaaaaaa ufujao pesa na mali ovyooooooooooo!

    Kwa nini Wizara ya Afya isidhibiti moja kwa moja mfuko wa msaada didi ya ukimwi? Pelekeni pesa kwa waathiriwa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...