kijana akipepewa baada ya kuzimika ghafla wakati wa halaiki ya siku ya uhuru dei

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Yaani hat ahamna first aid. Yaani Mwenyenzi Mungu ndie anaye tulinda tu Bongo. Wengine wamekaa kimya kama hamna kitu kilichotokea. Hata siamini.

    ReplyDelete
  2. makeke na watu kibaoo, jua kali...lakini huduma ya kwanza HAKUNA.

    ReplyDelete
  3. Ila ni mzalendo! Naona bado yuko na kabendera kake mkononi. YUKO TAYARI KUFIA NCHI...

    ReplyDelete
  4. BWANA MIE NASEMA KULA TIZI MUHIMU---NA WENGI WANATAKIWA KUSHAURIWA HAPA, NILITOA MAONI NAONA MHESHIMIWA MICHUZI KAONA NOMA KUYATOA. NASEMA HIVI. WATU KAMA BENI MULOKOZI, CHALE MTAWALI NA WAKE ZAO WAHAMASISHWE KWENYE KULA TIZI. MANA BWANA KITAMBI CHA BENI MULOKOZI NA PIA CHALE MTAWALI PAMOJA NA GEORGE RWAKATARE, VITAMBI VYAO VIKUBWA SANA. NA SI VYA AFYA NJEMA. WAKILA TIZI WATAANGUKA KAMA HUYU KIJANA HAPA,

    ReplyDelete
  5. Hayo mambo yanatakiwa upate chakula(mlo kamili) sio unakura dagaa na mrenda unaenda kupiga kwata

    ReplyDelete
  6. wewe anony stupid hapo juu,basi kwa taarifa yako dagaa na mrenda ni chakula bora kuliko cheese burger na big MAC, lofa wa akili wewe ~@£*?\!>&@@@nyooooo...!!!!!!!

    ReplyDelete
  7. Nashangaa wengine hawakuanguka! Kwanza wamevaa polyester tracksuits na joto la DAR! Nakubaliana na Anonymous wa 8:58, je alipata mlo wa kutosha? Je alipata maji ya kunywa, au fluids vya kutosha maana kuna hatari kubwa ya kupata dehydration. Nakumbuka tulikuwa tunaitwa kwenye gwaride halafu kama huna hela ya kununua kitu utashinda njaa au na kiu.

    Nami nakumbuka kuona watu vijana na watu wazima wakianguka kwenye hizo gwaride. Kuna siku alianguka Sergeant mbele ya Mwalimu. Alianza kuyumba vibaya, tukawa tunamtazama, mzee wa watu kajitahidi kweli asianguke, lakini bahati mbaya huyo kadondokabahati nzuri hiyo rifle yake haikuwa loaded!

    ReplyDelete
  8. Sawa dada chemi huyo jamaa aliyenitukana najua hajapitia jeshi ndio maana hajui hiyo sentensi ya mlo kamili. Niliposema mlo wa kutoka inatakiwa kweli ushibe mzee, siyo unalamba tu unaenda kupiga kwata utaumbuka.

    ReplyDelete
  9. Sheria za jeshi zinasema kwamba wakati wa gwaride, iwapo askari ataanguka au kuzimia anapaswa kuangukia singe iliyochomekwa kwenye silaha yake. Hapo ndio atadhihirisha ushujaa wake!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...