ndege ya joseph kabila kabange

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hiyo ni bendera ya Congo sio ya Tanzania jaribu kuangalia vizuri.

    ReplyDelete
  2. viongozi wa africa wao wanajifikiria wao tu!mmh ukiangalia kule kinshasa usafiri wao duuh unatisha ni tetanas tupu,halafu yeye anapakia ndege ya mamiliona ya dola.tutafika kweli?

    ReplyDelete
  3. yaani kabila anatembea na dude wakati wananchi wanasafiri migongo nje!?

    ReplyDelete
  4. Msiwe wagumu jamani,yeye ni head of state,lazima acomply na standards za kimataifa,isitoshe hiyo ndege ni chakavu,Boeing 727 ya mwaka 1972..tangu Mobutu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...