jk akiwa na familia ya jk, kinshasa, muda mfupi kabla jk wa drc kuapishwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Raisi Kikwete sema toka moyoni kabisa ukiwalinganisha Mkeo na huyo mke wa Kabila nani zaidi?

    Msema kweli mpenzi wa Mungu.Geuza uso mtazame huyo bibie usimuogope.Acha kumtazama Michuzi anayepiga picha halafu tuambie nani zaidi.Au unaona haya! Au unaogopa ukimtazama usije ukazidiwa zikafumuka ngumi na kabila humo ndani.

    ReplyDelete
  2. Jamani huyo mtoto mmemuona ni baba yake mtupu hata huulizi. Hongera Kabila u deserved to be the President of DRC.

    ReplyDelete
  3. Naona wote wamevaa bullet proof ndani.

    ReplyDelete
  4. nanai kawapanga hivi hawa.mke wa kabila anakuwa kama kazamia!next time wapangeni vizuri...mama kabila katikati,mtoto kwa mbele.na wewe kabila ushakuwa rais,huna haja ya kukunja uso kama unataka kumpiga mtu ngumi.

    ReplyDelete
  5. Michuzi, You need to correct the description note of the picture to reflect what is on the pic. You said that is JK family and i guess you meant to say Kabila's family.

    ReplyDelete
  6. ahhh anony usitishike na huyo mama Kabila. Anaonekana hivyo kwasababu ni 20 years younger than first lady wetu. Ebu mpe miaka mengine kumi ya kufaidi u-first uone kama mwili hautafumuka kuwa kama wa Tshala Muana tunayemuona hapo chini!

    ReplyDelete
  7. Long live the KKKKKKKKKKKKKKKKKKs
    of the Great Kakes Region!


    DRC = Kabila
    Rwanda = Kagame
    Uganda = Kaguta
    Kenya = Kibaki
    Burundi = Kurujinja

    ReplyDelete
  8. Kunradhini! Hapo juu isomeke:

    Long live the KKKKKKKKKKKKKKKKKKs
    of the Great Lakes Region!

    DCR = Kabila
    Rwnda = Kagame
    Uganda = Kaguta
    Kenya = Kibaki
    Tanzania = Kikwete
    Burundi = Kurujinja

    ReplyDelete
  9. 1st Lady wa DCR achane nywele zake kwa kuzipeleka nyuma, tuone upaji unavyong'aa! Sura yake itabadilika sana alingane na alivyoumbwa!

    ReplyDelete
  10. OYAAAAAAAAAAA ANON HAPO JUU DESCRIPTION NI SAWA KABISA MANAKE WOTE NI JK.... JAKAYA KIKWETE NA JOSEPH KABILA... SO JK'S WACHA KUCHEMSHA NA KUANZA KUPAMBANA NA MICHUZI... HAJAKOSEA

    ReplyDelete
  11. Mbona kama Kabila na Mkewe Olivia wote wamenuna? Siku ya kuapishwa hata katabasamu? Jamani siku ya furaha kwenu leo, mwamnunia nani? Kamnunuie mkeo aliyekuweka ndani...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...