Home
Unlabelled
kabila
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jk akipiga story na nani?
ReplyDeleteTunaomba uraia wa Nchi mbili.Si unaona Kabila huku Tanzania alikuwa mtanzania kabisa na huko Kongo ni Mkongo kabisa.Na yeye tumemsaidia.Asaidie wawekezaji wa Kitanzania huko Kongo asiwe kama mandela ambaye Anatujazia wa south Africa hapa badala ya kufungua milango ya Wafanyabiashara kuuza Africa ya kusini na kuwekeza huko.Kama hatujui kuwekeza au biashara MANDELA si atufundishe mbona wao walikuwa hawajui kupigana tukawafundisha.Tumechoka watanzania kuambiwa hatujui biashara au kuwekeza kwao.Tufundisheni na sisi .Msilipe wema wetu kwa kutuzomea kuwa hatujui mbona sisi hatukuwazomea mlipokuwa hamjui kupigana? Mandela,Thabo Mbeki Mna tabia mbaya.
ReplyDelete