Home
Unlabelled
kinshasa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
BRO MICHUZI. MAMBO HAYA SIO WENYE NAZO TUU WANAFANYA KWA KUJIAMULIA NI SERIKALI YAO IMERUHUSU WATU KUFANYA HIVYO N KULIPA ADA ZA USAJILI ZA JUU ZAIDI. MIMI NAISIFU SANA TRA YA KONGO KWA KUWEKA KITU KAMA HICHO KWANI MTU ANALIPA KODI KUBWA KWA KUJITAKIA, SERIKALI INAPATA MAPATO MENGI KWA NAMNA HII KWANI MAPREDEJEE WANAOTAKA KUJIONYESHA ZINAWATOKA BILA KUWAUMIZA WENGINE. HAPA KWETU SERIKALI INAKAZANIA KUWAKAMUA KODI MASKINI WAKIACHA MAMBO YA ANASA KAMA HAYA KAMA HAWAYAONI. PESA IKO TELE KWENYE MAMBO KAMA HAYA YA KUANDIKA MAJINA BADAL YA PLATE NUMBERS. TRA WARUHUSU WAONE KAMA MAPATO HAYAJAONGEZEKA MARADUFU. HATA KAMA WAKIWEKA MILIONI KUANDIKA JINA WATU WENGI TUU BONGO WATAFANYA. WAACHE MTINDO WA KUWANYANYASA WAFANYAKAZI KWA KODI KUBWA ZISIZO NA MPANGO.!
ReplyDeleteaa michuzi..Hufanya matusi tena??
ReplyDelete