mwajuma keki ni mmoja wa waoka keki maarufu dar. hapa yuko kazini kwenye sendi ofu. anasema yeye anapatikana ubungo na namba yake ni +255 713 417101

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Mzee Michuzi,

    Nadhani mojawapo ya mbinu bra ya utumiaji wa hii blogi yako ni kama hivi Dada Mwajuma alivyotangaza biashara yake. Namni hii kwa makubariano furani ya kisoko uria unaweza kuruusu kila mwenye mawazo ya kibishara ku-post habari na hivyo kujengana katika kuskuma maendeleo na kutafuta soko. Ni sehemu ya "ujasiri mali" Entrepreneurship.

    Ahsanteni,
    ..../Nshekah
    Minnesota, USA

    ReplyDelete
  2. Dada Mwajuma hongera sana...Keki kama za mamtoni ungekuwa huku mamtoni ungekuwa milionea kwa kutengeneza keki za macelebrity

    ReplyDelete
  3. sikujua kuna watu wanaandika lugha yetu nzuri ya kiswahili VIBAYA kama wanavyoongea au kutamka! Nshekah wa Minessota, pole sana.

    ReplyDelete
  4. minesota ..kikwahili kina piga chenga!!!

    ReplyDelete
  5. Annon 3;06:43pm.....usipende kuwasema wenzio wa MINESOTA kuwa hawajui kiswahili na wewe "kikwahili" ndio nini? haya nikosoe na mimi wa ughaibuni.

    ReplyDelete
  6. Mwajuma keki ni kiboko, jalafu amini usiamini anatumia kuni tuu kuoka keki zake. Je angekuwa anatumia ma "oven" ya kisasa?

    ReplyDelete
  7. Mwajuma Keki Yako kali l. kama mshauri tu hayo ma boll tai ya pink ni yanini tena ya plastiki tafuta mbinu nyingine , Hizo fresh flowers babu kubwa , Nilitaka utengeneze keki yangu ya harusi bongo mwezi 2 lakini hayo makitu yamenitisha ....
    Kazi kwko

    ReplyDelete
  8. We anony wa 4:05:41 acha usenge wako, unafikiri huku Bongo ma oven hakuna sio? Kwa taarifa yako bongo siku hizi kitu unachokiona ughaibuni hapa pia vipo nyama wee!Nadhani umeathirika na ubebaji wa mabox au kwa kuosha mavi ya vizee vya huko ughaibuni.Pumbavu mkosa adabu, mwache Mwajuma atese!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...