Wale wasioijua Mwanza, Hii ndio yenyewe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. I swear to GOD, this has taken us back home for real bro. Please do the same for Arusha, Moshi and Kigoma if you get to go there! We appreciate this

    ReplyDelete
  2. The city looks clean compared to Dar city!well done Mwanza City council!

    ReplyDelete
  3. Eti, hayo majabali ya mawe bado yanaitwa Bismarck Rock! hata hivyo, MZ mji wa wengi! Akina mli mhola mpo? Waliopitia Bwiru Seko (ya wavul na wasich), Shule ya Ualimu Buti, Shule ya Seko Agakh, Shule ys Seko Mwanz, Shule ya Seko Sumb, na Shule ya Nyagez, mpo?

    This is Born Again (Shule ya Seko Bwiru 1963), signing off and saying bye, for now!

    ReplyDelete
  4. Darwins nightmare!

    ReplyDelete
  5. kaka tunakubali yote hayo.lakini tanzania ku giza, umeme patupu.

    tunaomba uchochee mjadala wa swala la kukosekana kwa huduma muhimu ya umeme.hivyo ndivyo nchi yetu tutaijenga kwa fikra na jasho letu.

    ReplyDelete
  6. Note: kina cha maji kimeshuka kiasi kwamba mtu unaweza kwenda hadi kwenye majabali hayo. sidhani kama imeshawahi kutokea hali hiyo tena kwa miaka ya karibuni. wenyeji wa mwanza nisahihisheni !

    ReplyDelete
  7. Mwanza ni Jiji ambalo kwa sasa ndio linakuwa kwa kasi zaidi katika Tanzania. Kwa mwaka huu 2006, limechakugliwa kuwa Jiji safi zaidi(1) katika majiji na halmashauri zote za Tz. Kwa ziwa Victoria limeshuhudia kushuka kwa kina kwa rekodi kubwa zaidi, sasa unaweza kwenda kwenye Bismark kwa miguu, huku maji yakiwa kima cha goti. Sehemu ya Jiji ambayo inatoa picha ya usafi na utunzaji mkubwa wa Mazingira ni Nyerere Square, pamoja na round about ya Jengo la CCm mkoa..Aidha Baadhi ya barabara hufagiliwa kila siku na kuna ukarabati mkubwa wa Miundombinu katikati ya Jiji... Majengo makubwa yanaendelea kujengwa, huku ujenzi katika vilima ukipigwa marufuku...

    ReplyDelete
  8. Are you sick of uploading your original content to YouTube and getting nothing out of it? Well a YouTube rival; break.com is paying users to upload new and original content to their site.

    You’ll get $400 dollars per original video you upload. You can even earn money uploading pictures; $25 to be exact. Got a hot girlfriend who just loves to post her pictures online? They’ll pay $50 for that. If you’re doing a short film for school or something like that they’ll pay a whopping $2000! Looks like lonely girl and other YouTube “celebrities” uploaded their content to the wrong site.

    Making the cash isn’t going to be as easy as it sounds however. The content you upload goes through an acceptance process by Break’s moderators. Along with that the content has to be good enough to be featured on the front page. If you’ve got some original footage to show, start cashing in on this offer.

    site like youtube or break.com dedicated for tanzanian is coming soon so stay tuned.

    Thanx.

    ReplyDelete
  9. Kuendeleza kauli ya kibunango:

    Katika kipindi cha miaka minne toka sasa, kuna haja ya kuendeleza miji yetu mingine ijengeke, kama Dar: Kigoma, Mwanza, Mtwara, Mbeya.

    Arusha inajengeka ki-East Africa. Dodoma inajengeka ki-taifa – ingawa wakubwa wa serikali hawataki kuamia huko!

    Kila mwaka tuwe na jiji moja la kuendeleza kati ya miji niliyotaja! JK akifanya hivyo atabakiza legasi safi yenye mwelekeo wa kuleta hali nzuri ya maisha kwa wote si wa Dar tu!

    Tuanze na Mwanza (Jiji la Pili Tanzania).

    Jiji hili liwe kubwa kwa Mikoa yote ya Ziwa Victoria : Kagera, Mwanza, Shinyanga na Mara (zamani, Lake Province). Kwa kuwa ukanda huu wa ziwa una madini mengi ya madini ya dhahabu na almasi basi Jiji la Mwanza liwe ndio senta ya madini hayo ikiwa ni pamoja na kudumisha biashara, michezo, na utamaduni na nchi za jirani za Uganda na Kenya.

    Mwanza imejengwa karibu na ziwa na milima, milima. Lakini sehemu ya Barabra ya Makongoro na Ziwa...toka daraja karibu na Hospitali hadi Barabara ya Kirumba Stadium kwenda Mlimani na Mwaloni... inaweza kabisa kuendelezwa kujengwa upya ikiwa ni pamoja na kutengeneza sehemu hiyo ya kandokando ya ziwa kuwa park na hoteli za kisasa.

    Endapo sehemu hii haitakidhi upanuzi wa Jiji, basi, Jiji lipanuke around sehemu za mkondo wa ziwa (lake bay) za Bwiru, Pansiansi, na kuelekea Kiwanja cha Ndege. Marine facility ijengwe kushughulikia utalii wa Ziwa Victoria kuzunguka mkondo huo.

    Kiwanja cha Ndege kipanuliwe kwa ndege kubwa za abiria ili watalii wanaopenda kuja kutembelea mbuga za wanyama za Serengeti watue hapo Mwanza kuliko kutua Nbi (Kenya) au Kilimanjaro na kusafiri kwa magari au ndege ndogo hadi Serengeti na kurudia humo humo.

    Watalii wanataka sana ku-maximize vya kuona si kwenda na kurudi kwa barabara hiyo hiyo na sehemu hizo hizo!

    ReplyDelete
  10. Mbona haya mambo ya yotube yamezidi! Yanaboa bwana michuzi. embu tutolee bana.tuwekee picha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...