Home
Unlabelled
pcb
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
SASA ANATAKIWA NAYE AFANYE MAZOEZI AWE FEET. MAANA KWA BOOZE HUYU, MTUMEEEEE ACHA TU.
ReplyDeleteAnajua mengi na madhambi ya wakubwa (Sokione kuwa na ranchi kubwa ya ng'ombe lukuki sehemu za Ruvu kusini mashariki ya Dar-Moro ya Barabara- karibu na daraja la Mto Ruvu) maana kakaa pcb tangu enzi za Kambarage!
ReplyDeleteAnachekesha eti kasema ataanza kuwashughulikia vigogo wala rushwa baada ya Krismasi yaani januari mwakani.Eti anawaacha wala rushwa washerehekee sikukuu kwanza wasije kufa kiharusi.Is this man serious? Hivi anawaacha washerehekee au anawapa muda wa kujipanga kuficha mali zao ili akianza kuwafuata asiambulie kitu? Hosea ulipotoa hiyo statement kwenye press ulikuwa serious au ulikuwa umelewa?
ReplyDeleteKujua madhambi ya vigogo wengi toka wakati wa nyerere au nani si kitu cha maana. Cha maana ni kuyashughulikia.Matarajio yetu hataishia tu kuyajua (head knowledge)bali atayashughulikia.
ReplyDeleteMtu anayejua madhambi lakini akawa kuyashughulikia hawezi akawa anaishia tu kuyasimulia kwa kiswahili anaitwa MU-MBEYA.Tunatarajia hataishia umbeya wa kuyasema madhambi bali atafanya kweli.
Aige utendaji wa Said Mwema (IGP).Said akilituhumu jitu kuwa jambazi analikalia kooni mpaka linye.Matokeo yake ujambazi Tanzania umebaki kama tukio la muujiza ukiona limetokea.Na Wewe Hosea watuhumiwa wakalie kooni barabara kama huwezi sema ,tutaomba Kikwete akutoe na Said Mwema aje hapo achukue nafasi yako tuone kama wala rushwa hawatatoa cheche kwenye makalio akiwaminya kooni.
ReplyDeletehuyu bwana ni mtu bomba nakumbuka articke yake ya trial with a reasonable time sasa kesi za pcb ziendane na ile article yake sio zikae miaka kumi.safisha rushwa usiwe kama mjeshi
ReplyDelete