hapa natoka salon congo, diamond jubilee ya kinshasa...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Ok Michuzi hapo nimekubali mambo yako si mabaya kabisa na nnafurahi kwasababu unatuonyesha mambo makubwa ya nchi zingine za watu zilivyo. Wadau tulikuwa hatuna idea jinsi gani Congo na nchi zingine zilivyo. Keep it up bro na uzidi kutuletea zingine.

    ReplyDelete
  2. At least milango ya mizuri kuliko diamond

    ReplyDelete
  3. BWANA MICHUZI NINGEPENDA KUKUULIZA SWALI NA PENGINE NINGEPENDA KUPATA MAJIBU KUTOKA KWAKO. HIVI WEWE NI MPIGA PICHA WA SERIKALI AMA MPIGA PICHA BINAFSI? MAANA NASHINDWA KUELEWA, KAMA KWELI WEWE NI MPIGA PICHA WA SERIKALI NA UNASAFIRI NA MSAFARA WA RAIS NA NDEGE YA RAIS KWA KUTUMIA FEDHA ZA WALIPA KODI UNAWEZAJE KUTUMIA MIANYA HIYO KUJINUFAISHA MWENYEWE KWA KUPIGA PICHA BINAFSI NA KUZITANGAZA KATIKA WEB SITE YAKO? HATA KAMA HATULIPI KIASI CHOCHOTE KUANGALIA HIZI PICHA LAKINI UNAITANGAZA BIASHARA YAKO YA PHOTO POINT KUPITIA HII BLOG. NA KAMA UNAPO KUWA NA MSAFARA WA PRESIDENT UNAKUWA KWENYE CLOCK, SASA IWEJE USITUMIE MUDA HUO KUFANYA MAMBO YALIYO KUPELEKA KWENYE HUO MSAFARA UNAANZA KURANDA RANDA MITAANI KINSHASA KUPIGA MIPICHA YA WATU WAKO KWENYE DALA DALA, WENGINE WALIO KUFA KINA PEPE KALLE, HICHO NDICHO KILICHO KUPELEKA KINSHASA? KWA NINI USIENDE MWENYEWE KWA GHARAMA ZAKO NA USAFIRI WAKO MWENYEWE UNAPO KUWA LIKIZO AMA NJE YA CLOCK? ARE YOU PAID TO DO YOUR OWN BUSINESS BY GOVERNMENT? HUONI KAMA KUFANYA HIVYO UFANYAVYO NI KUWAIBIA WALALAHOI WALIPA KODI WANAOCHANGIA GHARAMA ZA WEWE NA MSAFARA WA RAIS? SIDHANI KAMA MHESHIMIWA RAIS AMEKUWEKA KATIKA HUO MSAFARA ILI WEWE UENDE KUZULULA MITAANI KUTAFUTA MATUKIO MBALI MBALI YANAYOTOKEA CONGO ILI UTUWEKEE ILI TUJIONEE KULIKONI,NILIDHANI UNAKWENDA KIKAZI KUPIGA MATUKIO YANAYO HUSU ZIARA YA MHESHIMIWA RAIS! MICHUZI JALIBU KUTUMIA MUDA WA KAZI KUFANYA KAZI NA MUDA WA BIASHARA KUFANYA BIASHARA. NI KWA SABABU UNAFANYA KAZI NA WASWAHILI LAKINI KAMA UNGEKUWA HUKU MFANO AMERIKA SIKU NYINGI ULIKWISHA TIMULIWA KAZI. ETI MPIGA PICHA WA SERIKALI/IKULU ANASAFIRI NA BUSH NA SIYO MPIGA PICHA WA CNN HALAFU ANAENDA MITAANI KUPIGA MIPICHA HALAFU ANA POST KWENYE BLOG YAKE ILI WATU WATOE MAONI? MBONA SIKU NYINGI KIBALUA KILIKWISHA OTA MBAWA!! HAKUNA KINGINE KWENYE HII BLOG BALI NI UMBEYA NA WATU KUKOSA KAZI NA KUANZA MAJUNGU...NAOMBA UPOST HAYA MAONI ILI WATU WATOE MAONI YAO USIONE HAYA HUU NI WAKATI WA UWAZI NA MIMI NAONA YOU PERSONALLY ARE CORRUPT AND YOU SHOULD BE FIRED SO THAT YOU CAN DO YOUR JOB WHICH IS TO FIND FUNNY AND EMBARASSED EVENTS SO THAT PEOPLE CAN SEE AND LAUGH, YOUR GOAL HERE IS NOT TO EDUCATE ANY TANZANIANS BUT TO HUMILIATE THOSE WHO APPEAR IN YOUR BLOG. I ASK THOSE WHO HAVE APPEARED IN THIS BLOG WITHOUT THEIR PERMISSION AND ENDING UP CURSED TO FIND THE WAY TO SUE YOU. LIKE PRIME MINISTER DAUGHTER PAMELA, OR TAUSI AND CYNTHIA, YOU REAL DESTROY THEIR IMAGE AND I THINK YOU SHOULD PAY SOMETHING OR GO TO JAIL. I WISH YOU CAN PUT MY PICTURE WITHOUT MY AUTHORIZATION AND SEE WHAT COME UP NEXT! POST MY COMMENT!!!

    ReplyDelete
  4. Salon Congo inaishinda hiyo godown yetu ya daimondi jubilii

    ReplyDelete
  5. wadau naomba nisaidieni kumjibu mdau wa hapo juu. mie sina la kumjibu zaidi ya kusema hewalla kaka/dada!

    ReplyDelete
  6. Huyo Betty atulize nyege zake! Kwani nani kasema ukiajiriwa basi usfanye shughuli nyingine binafsi? Baada ya kazi ni ruksa kujishughulisha na mambo mengine. Ulitaka atumie muda wake wa ziada kufanya nini? Nyie ndo mmekariri kuwa shughuli ni ya kuajiriwa tu na mnafanya shughuli kwa nia ya kuganga njaa! "Choose a job that is your hobby and you will never get bored..." Nadahni Michuzi anafanya kazi ambayo inampa furaha na wakati wote anapopata muda wa ziada anaendelea na mambo binafsi katika fani yake; na anatoa burudani tosha kwa wengine! Halafu we Betty ni nani kutoa ushauri na kuwasemea ambao wamewekwa humu kwenye blogi! Tuma picha yako tukunyambulishe nyama we! Wivu tu unakunyegeza, huna lolote!

    ReplyDelete
  7. Achana naye huyo michuzi ana mtima nyongo, wivu tuu, watu kama hao hawakosekani dunia hii ya leo. Wee endelea kutuletea habari na picha kwa sana manake tunafaidika sana kuona nchi za wenzetu sisi ambao kutoka nje ya Tz ni kazi.Usije ukakuta ni mkongo huyo.Nafikiri wanaona kama umewaumbua manake hali ya usafiri huko kwao soo!!!.

    ReplyDelete
  8. Hey Michuzi,
    Mimi nashukuru kwa kazi yako nzuri. Ushauri wangu ni kwamba binadamu olweiz tuna kajiwivu. Kuna watu sasa hivi wana wivu na mafanikio yako. Labda wao wanajiona wana kisomo kuliko wewe,au vyovyote vile, sasa wanapoona unakula nao sahani moja au unapeta na rais, ni kwamba kitawauma. Ni kawaida ya kibinadamu, usikonde.
    Ukumbuki ule wimbo wa mlimani park kama sikosei, "amini usiamini kukuchekea sio kufurahi nawe kaka...." Keep that in mind brother and keep doing your thing.

    ReplyDelete
  9. Michuzi tabu ipo wapi??? Huyo dada majibu kibao keshapewa kwenye hizo picha nyingine alizotundika hako kaujumbe kake. Kuonyesha kwa kutojiamini na kile akiandikacho ndo maana ametuma kameseji hako kwenye kila picha!! Ni "USHAMBA" tu, AKIJANJALUKA ataacha. Endeleza wembe huo huo michuzi. NB: Nitakuletea PICHA ya "madogo wangu" hapa uwatundike ili nione huyo KAKA betty kolassa atakavyosema nimetumia muda na mali ya serikali kuwa-snap hao DOGO.

    ReplyDelete
  10. Kaka Michuzi,

    Hachana na huyo Bw. betty kolassa. Yeye naona ameamua kutumia uhuru wake wa kujieleza katika blogu yako. Pia nakupongeza kwa kutumia uungwana wa hali ya juu kuruhusu posti ya Bw. betty kolassa kwenye blog yako.

    Mimi naona huyu Bw. betty kolassa anaweza akawa staff mwenzako hapo daily news. Ameona mkuu safari zimekuchanganyia, biashara ya photopoint imewiva, na umaarufu wako unazidi kuongezeka, sasa ameanza kuona wivu.

    Ni hali ya kawaida kabisa kwa binadamu kuwa na wivu wa kimaendeleo kama alivyonao Bw. betty kolassa.

    Sasa badala ya huyu Bw. betty kolassa kulalama hapa, na yeye abane matako aweze kupata mafanikio.

    Bw. betty kolassa kama unahitaji ushauri wa jinsi ya kuweza kupata maendeleo tafadhali usisite kuandika kwenye blog. Watu wengi wapo wanaoweza wakakushauri na wewe badala kusubiri pay check ya daily news kila mwisho wa mwezi, uweze kuanzisha miradi yako ya pembeni ambayo itaweza kukuletea maendeleo.

    Ahsante kaka Michuzi.

    ReplyDelete
  11. UNAYEJIITA BETTY!!! NAKUSHANGAA SANA HIVI WEWE UWEKWE HUKU KWA INTEREST ZA NANI??? PILI HATA UKIWEKWA ITAKUWA ULIJIPENDEKEZA PEMBENI YA WANAOSTAHILI KUWEKWA HUMU >>>>>GO ON MICHUZI>>>> ACHANA NAO ...WATU WA DIZAINI HIZI.... eti WISH YOU CAN PUT MY PICTURE WITHOUT MY AUTHORIZATION AND SEE WHAT COME UP NEXT! POST MY COMMENT!!!KWENDA ZAKO UMENITIA KICHEFU CHEFU.... kwanza kiswahili KIBOVU>>>>eti JALIBU,KUZULULA,KIBALUA....ISHIII >>>>>mfano gani huu si bora ungemtolea Bingu wa Mutharika>>>>MFANO AMERIKA SIKU NYINGI ULIKWISHA TIMULIWA KAZI. ETI MPIGA PICHA WA SERIKALI/IKULU ANASAFIRI NA BUSH NA SIYO MPIGA PICHA WA CNN HALAFU ANAENDA MITAANI KUPIGA MIPICHA HALAFU ANA POST KWENYE BLOG YAKE ILI WATU WATOE MAONI? MBONA SIKU NYINGI KIBALUA KILIKWISHA OTA MBAWA!! HAKUNA KINGINE KWENYE HII BLOG BALI NI UMBEYA NA WATU KUKOSA KAZI NA KUANZA MAJUNGU..

    ReplyDelete
  12. hongera sana michuzi kwa kutuwekea picha za matukio mbali mbali na kwakweli blog yako hii ni nzuri sana na una utaalama wa hali ya juu achana nao wanao bwabwaja ovyo domo kama hao wafunguwe blog yao tuwaone daima watu wanaobwabwaja ovyo hawana wanaloweza la kufanya ili kutumia midomo wao yenye fikra finyuuuuuuu..

    ReplyDelete
  13. kwa kweli watanzania wenzangu mnanishangaza. Ni baada ya mtu kunitumia link ya hii blog kusikia jinsi watu mjini wanavyotukana watu na kusambaza umbeya tu! Ndiyo maana hii nchi haendelei. Kama kweli mtu ana NAFASI ya kukaa na kuanza kutype na kutukana wenzake, basi huyo mtu maisha yako nayo yapo hivyohivyo. Maana wewe unayemyooshea mwenzako kidole, umejiangalia wewe mwenyewe kwanza kabla ya kufanya hivyo? watu wengi wa namna hii hawana busara kabisa na umasikini nchi hii tutabki nao tu. Majirani zetu wanaendelea na uchumi sisi mabadiliko madogo kwa manufaa ya watu wachache saana.Sasa wewe unayekaa na kutoa kashfa jiulize najiendeleza vipi, maisha ya watu wengine yaninhusu nini mimi? kama kafanya watu 100 au 1000 yananihusi nini? Ni mkeo? Ni mmeo? amevaa kimini, kanfanya vile na vile. Utabaki kuu untyoe kwenye hii blog na kuendelea kula ugali na maharage kwasababu huna hela za kujiendeleza na kuafford vyakula vingine. Wangapi wana savings sasa, wangapi wana pension za maana hapa? Au ni pombe tu kwenye maclub na kutafuta demu gani wa kufanya au kusengenyanana tu? Maendeleo hakuna tabia zilizile wenzangu, wageni wananufaika kuliko sisi, hata tender za barabara tunashindwa, mikopo mabengi ya mabilioni tunanyimwa, manjiuliza kwanini au ni kulalamika tu perepere tu nyingi. Mimi ni mbongo lakini mambo niliyoyaona kwenye hii link yamenisikitisha. Tunasema sisi ni vijana wa kesho. Kijana wa kesho gani wenye akili ndogo hivi. Wewe hujawahi kukosea duniani ukaenda kanisani ukaomba msamaha,ukiomba mungu yapite?Imagine siku moja ukute mambo yako huku utapenda? Si vizuri hivyo....haswa mambo ya nani kafanya nini na nani? Mwenye hii blog ndiyo kwanza naona picha yako...kama wewe ni mtu wa serikali au journalist, kwa kweli nia yako ilikuwa kuwafanyia watu ubaya hii.comment yako hapo juu hairidhishi.take responsibility maana bila ya picha unazozipost watu wasingekuwa wanatukanwa hivi.Sasa kama kweli unataka watu wapost comments za maendeleo halafu unaweka picha hazihusiani na maendeleo unategemea nini?unaonekana mtu mzima,tumia mawaidha wayo intention yako ilikuwa nini, maana kama ilikuwa mbaya basi si unajua tena, what goes around comes back around.ushazsoma comments nyingi ukajua akili za watu, is this what you wanted? hama sivyo basi filter your photos that you know will not cause such harsh comments diminishing ones character.Au close the blog if you are not getting the outcome you desired!lakini namna hii hatufiki, wala siyo sifa, tupendane,tuwe wamoja, kila mtu ana makosa yake,ni mungu tu wakutuhujumu makosa yetu ya siri na yanayojulikana. Tuanze savings, tuangalie investment opportunities,tujenge mashule ya kuwaelimisha watoto wetu, tusaidie masikini,kila unapoambiwa huwezi kufanya kitu na moyo wako wote unataka fanya, anayekwambia vinginevyo ni yeye asiyeweza...hatutafika namna hii.watu wako maofisini hafanyi kazi wanatafuta michuzi blog ina umbeya gani. use your time wisely my friends......I know I am and will make a difference in my country, but I would certainly not want to hire or meet people with small minds! Issa sijui michuzi....take responsibiity and reflect your intentions, if they are not working do something about it.From your comment, it clearly shows you are enjoying this and guess what I know what comments will come out of this but guess what, I also know I will get into the heads of other people. WHO ARE YOU TO POINT A FINGER? DO THAT TO YOUR HUSBAND, WIFE, CHILDREN..and as you already know whatever wrongdoing they have done, you will try and protect then....WHY NOT OTHERS? WHAT DOES THIS SAY ABOUT YOU....YAANI YOUR CHARACTER.....use your head wisely and engage in meaningful comments that will truly bring maendeleo. Asanteni wabongo wenzangu na samahani kwa wale ambao wataona kama nimewatukana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...