simaloo lutumba (mwenye gitaa) bado anaendeleza libeneke la franco lwambo nzo makiadi akiwa na bana ok jazz. kulia ni mkongwe mwingine wa tp ok jazz, ndumba opotan

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ndio wenyewe!

    ReplyDelete
  2. Bwana Michuzi, mimi ni mpenzi sana wa TP OK Jazz na pia wanaoendeleza african rhumba la TP Ok Jazz, "Bana OK"

    Kwanza nashukuru kwa hii picha kwani inatukumbusha furaha na majonzi. Furaha kwa maana ya kwamba bado kuna mabaki ya wanamuziki wa TP OK Jazz; na Majozi kwa sababu iliyokuwa bendi ya TP Ok Jazz imepoteza wanamuziki wengi kwa kutaja wachache ni kama Franco, Madilu System, Djo Mpoy, Kiwanaka, Decca,Ya Ntessa Dalienst, na wengine wengi ambao walikuwa hawana majina makubwa.

    Rejea kwenye caption ya picha hii anayepiga gita ni Lutumba Simaro Masiya "la Poet" na kulia ni mkongwe Ndombe Opetum na sio Ndumba opotam

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...