kipanya akila sahani moja na pcb baada ya kumwaga mkwara mzito mwezi desemba 2006 na
ifuatayo ni blugo ya mijadala kuhusu ile jumuiya ya wanablogu wa bongo

wadao wote ruksa kushiriki na kutoa maamuzi yenu humo...

http://www.blogutanzania.blogspot.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. pcb ni nini?

    ReplyDelete
  2. Prevention of Corruption Bureau (PCB)au Taasisi ya Kuzuia Rushwa (TAKURU). Fungua website yao http://www.tanzania.go.tz/pcb/

    Hawa watu ndio wamemfungulia mashtaka Prof. Mahalu (aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia) mahakama ya Kisutu, Dar Es Salaam.

    ReplyDelete
  3. Prevention of Corruption Bureau (PCB)au Taasisi ya Kuzuia Rushwa (TAKURU). Fungua website yao http://www.tanzania.go.tz/pcb/

    Hawa watu ndio wamemfungulia mashtaka Prof. Mahalu (aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia) mahakama ya Kisutu, Dar Es Salaam.

    ReplyDelete
  4. Prevention of Corruption Bureau (PCB)au Taasisi ya Kuzuia Rushwa (TAKURU). Fungua website yao http://www.tanzania.go.tz/pcb/

    Hawa watu ndio wamemfungulia mashtaka Prof. Mahalu (aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia) mahakama ya Kisutu, Dar Es Salaam.

    ReplyDelete
  5. Nawapongeza TAKURU kwa hatua waliyotoka nayo hivi majuzi ... Hata hivyo bado waovu katika Janga la Rushwa kadha wa kadha ni wengi mno... Napendekeza kuwepo na Group Categories zitakazomulikwa zaidi na Nambari One iwe ni Police Category.... Keep it Up Takuru

    ReplyDelete
  6. Michudhi niko nje ya mada lakini rais/mshikaji mh.kikwete amezidisha trip nje ya nchi kiasi kwamba naona matatizo ya nchi haangalii kabisa.Hivi hizo pesa zinazotumika za misafara sizingesaidia mambo muhimu kuliko kula trip everyday?Nasikia yuko swiss sasa hivi au amejisahau anafikiri bado ni foreign affairs minister?na amshukuru Benny at least amemwachia nchi ina kitu kidogo naona yeye ndo itaisha kabisa mpeni somo jamani atulie home,safari zingine aende hata Lowassa au Mo Shein au vipi.

    ReplyDelete
  7. sikuelewi we wa mwisho!
    Anyway kipanywa asante kwa kutoa topic hii, ila nakuomba ote picha zako vizuri, kwani tunashindwa kusoma maneno yale madogomadogo! Kazi nzuri sana

    ReplyDelete
  8. Anony wa 11:12:07 hakutoa jibu sahihi kuhusu maana ya pcb. Maana sahihi ya pcb ni mchepuo wa masomo ya sayansi wenye kujumuisha masomo ya Physics, Chemistry na Biology. Kwa hiyo pcb ni kifupisho cha masomo hayo masomo matatu. Mchecheo huo hufundishwa katika kidato cha tano na cha sita.

    ReplyDelete
  9. we matako hapo juu pcb ni idara ya kuzuia rusha ,,,tunajua kuna mchepuo ndio pcb,,,,but pia kuna kitendo cha kuzuia rushwa pcb,,,acha ubadhadhi kujifanya huelewi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...