Home
Unlabelled
banana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
habari ndugu michuzi?mi ni mpenzi wako sana wa blogu yako lkn kuna miji huwa siifahamu kama hapa unavyosema ei town unakusudia ni mji gani?au kama vile ukerewe, tukuyu, newala kwa kweli huwa unaniacha
ReplyDeletewe anony unayeulizia eti ei town ndio mji gana hebu acha ushamba. Nikiandika hivi "A-town" labda itakusaidia kupata picha kidogo ni mji gani unaongelewa. (Pls don't ask stupid questions)
ReplyDeleteei town = Arusha
ReplyDeleteNdugu yangu ei town inamaanisha A town ambako ni Arusha...Huyo ndo Michuzi bwana.
ReplyDeleteEi Town au A.City ni mji wa Arusha Chalii yangu.
ReplyDeletesina uhakika ila nafikiri anamaanisha arusha, ndo wanapaita A town siku hizi
ReplyDeletepresha,presha yanini??
ReplyDeleteAnita wa moroco naye yumo?
....hichi kibao ni kiboko!!!!
Nilipokuwa Bongo December-January huu wimbo ulikuwa unatamba redioni sana.
ReplyDeleteBanana:nisiongee na watu eehhh....
ReplyDeleteHafsa:mbona wasichana pekee...?
Banana:labda ni madada zangu eehh...
Hafsa:mbona mabusu tele??
Banana:mambo ya kizungu....!!!
jamani huu wimbo ni mtamu balaaaa
"HAFSA KEEP IT UP MY GIRL,NILIANZA KUKUBALI KWENYE WIMBO WAKO wa Mwezi mzuri lakini uko mbali,dhahabu ni nzuri lakini ndo ghali.....lakini mpenzi wangu weee MASHALLAH,wangu mpenzi ohhh MASHALLAH""
Jamni men wa tz wazuri, wanajua mahaba, very sexy, lkn wapunguze uongo
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDelete