banana zahir ali zorro na hafsa kazinja ni wanamuziki wanaotamba hivi sasa bongo kwa kibao chao cha kolabo cha 'presha' ambapo sasa wanazunguka nchi nzima kutesa nacho. hapa ni ei tauni majuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. habari ndugu michuzi?mi ni mpenzi wako sana wa blogu yako lkn kuna miji huwa siifahamu kama hapa unavyosema ei town unakusudia ni mji gani?au kama vile ukerewe, tukuyu, newala kwa kweli huwa unaniacha

    ReplyDelete
  2. we anony unayeulizia eti ei town ndio mji gana hebu acha ushamba. Nikiandika hivi "A-town" labda itakusaidia kupata picha kidogo ni mji gani unaongelewa. (Pls don't ask stupid questions)

    ReplyDelete
  3. ei town = Arusha

    ReplyDelete
  4. Ndugu yangu ei town inamaanisha A town ambako ni Arusha...Huyo ndo Michuzi bwana.

    ReplyDelete
  5. Ei Town au A.City ni mji wa Arusha Chalii yangu.

    ReplyDelete
  6. sina uhakika ila nafikiri anamaanisha arusha, ndo wanapaita A town siku hizi

    ReplyDelete
  7. presha,presha yanini??
    Anita wa moroco naye yumo?
    ....hichi kibao ni kiboko!!!!

    ReplyDelete
  8. Nilipokuwa Bongo December-January huu wimbo ulikuwa unatamba redioni sana.

    ReplyDelete
  9. Banana:nisiongee na watu eehhh....
    Hafsa:mbona wasichana pekee...?
    Banana:labda ni madada zangu eehh...
    Hafsa:mbona mabusu tele??
    Banana:mambo ya kizungu....!!!
    jamani huu wimbo ni mtamu balaaaa
    "HAFSA KEEP IT UP MY GIRL,NILIANZA KUKUBALI KWENYE WIMBO WAKO wa Mwezi mzuri lakini uko mbali,dhahabu ni nzuri lakini ndo ghali.....lakini mpenzi wangu weee MASHALLAH,wangu mpenzi ohhh MASHALLAH""

    ReplyDelete
  10. Jamni men wa tz wazuri, wanajua mahaba, very sexy, lkn wapunguze uongo

    ReplyDelete
  11. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...