Home
Unlabelled
bi chau
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
bi chau nimependa hair style yako imekupendeza.Njo unyamwezini(u.s) na ku miss miss acting zako mwanangu
ReplyDeleteMy love RAHIMA, i miss u darling.
ReplyDeleteHii movie lazima niione sababu tu ya Bi Chau nampenda sana huyu mama ana vichekesho! Jamani tuambieni tulioko ughaibuni jinsi ya kuipata
ReplyDeleteanonymous wa february 22 2007 sasa hii movie utaionaje wakati hiyo contact ya e-mail yao ukiwandikia hawakujibu au labda wewe mwenzetu unazo channel zao za kuwapata maana sisi wa huku ughaibuni tunawatafuta kwa ajili hiyo hiyo ili tununue movie zao lakin hata kujibu wanajibu katika ile mail yao ya bongofilms@gmail.com
ReplyDeletesasa hebu tueleze ili na sisi tupate hizo channel zao sawa maana nawashanga sana hawa watu pamoja na issa michuzi wao wakutangaza kitu halafu contact zao wasi wasi wasije wakawa matapeli hawa.