
jaji mkuu wa miss tz dk ramesh shah akiwa na miss tz 2001 happiness magessa na mshindi wa pili aminata keita. dk shah ameshikilia wadhifa huo toka miss tz ianze upya mwaka 1994. wakati happiness anafanya umodo sauzi aminata keshamaliza kitabu ifm na hivi karibuni karipotiwa na jarida moja kwamba amajaaliwa mwana na anafanya kazi
Jaji kaenda chini siyo kawaida, taabu itaanza atakapotakiwa awabusu hao mamiss- ataishia kwenye manyonyo, mara kesi ya udhalilishaji. Labda asimame, lakini hivyo alivyochuchumaa taaabu kubwa
ReplyDeleteMichuzi na wewe hebu wacha kutudanganya, huyu Aminata lini kamaliza kusoma Ifm? aliishiaga 1st year tu na hapo ilikuwa ni mwaka 2000. hizi shule za hawa mamiss unaotuandikia huwa unazifanyia kazi kwanza au unawapaisha tu?? huyu nae amekutuma utudanganye kama Hoyce Temu?
ReplyDelete