judith daines isambua mbibo a.k.a lady jd amesimama vilivyo siku hizi na bendi yake ya machozi. hii nikwenye harusi jana usiku.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. The lady can sing!

    ReplyDelete
  2. Lady, uvaaji wako sio mzuri, hiyo brazia nyeusi haikustahili kuonekana, alafu shugulikia miguu yako naona hizo hai hilis sio suitable kwako. Ni hayo tu!

    ReplyDelete
  3. Yes namfagilia sana uyu mwana dada Jide na namkubali kwa kazi yake nzuri ya kutuburudisha.Endelea ivyo ivyo dada utafanikiwa kwa sana tu.

    ReplyDelete
  4. Taarab imo pia!

    ReplyDelete
  5. huko nyuma kwantamanisha!

    ReplyDelete
  6. tako dada tako, waw waw

    ReplyDelete
  7. Ila kigimbi duuh! alafu siku hizi anaimba kwenye maharusi na mabaa au ni vipi sijaelewa mwenzenu. naomba ufafanuzi, na m i nikiwa na b'day naweza mkodi???

    ReplyDelete
  8. This woman is really a good singer. Je keshatoa kibau gani kipya siku za hivi karibuni.

    ReplyDelete
  9. Jide inabidi uzae sasa, unazeeka.
    Kitako mwanana nakiona kwa mbali

    ReplyDelete
  10. wewe!!! kuzaa ni majaliwa na kuoa au kulewa ni wajibu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...