mh. bwm akinizawadia baiskeli kwa kuchakarika mwaka 1992 wakati huo akiwa waziri wa habari. hii baiskeli hata ilikoishia sikumbuki ila ilinisaidia sana kupuyanga mitaani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Michuzi hapa ulikuwa handsome kaka

    ReplyDelete
  2. Kaka michuzi Hongera sana kwa kupata zawadi ya baiskeli. Nakupa hongera sana hii inaonyesha ni jinsi gani ulivyomakini na kuheshimu Kazi yako. Kwa kweli mi mi nianza kukusikia na kuona picha zako kwenye gazeti la Daily News toka nikiwa darasa la sita. Ingawa nilikuwa siwezi kusoma umombo lakini nilikuwa nikiona tu picha ( photo by issa muhidini Michuzi)

    Hongera sana. Hivi michuzi unauzoefu wa miaka mingapi kama katika fani hii.

    Asante

    ReplyDelete
  3. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  4. Wakati huo BWM alikuwa chui aliyejifunika ngozi ya kondoo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...