modo akionesha kivazi cha jioni usiku wa leo kwenye shoo ya lady in red

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Hala hala wadau naombeni mnisaidie kuondoa tongotongo hili la macho, tena kungali mchana. Hivi kuna kauhusiano kokote kati ya urembo na uzungu au uhindi? Nauliza hivi kwakuwa dada, mama, shangazi hata bibi zetu waelekea kutuaminisha hivyo. Karibu kila binadamu mwenye jinsia -ke- umuonae hapa Bongo hakosi ama kuchubua ngozi yake au kubadili nywele zake ili afanane na mzungu au mhindi. Binafsi nachanganyikiwa na zaidi nahisi kichefuchefu!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Utumwa sio lazima tufungwe minyororo shingoni, huu ndo utumwa umesharejea ndani ya bongo za wabongo/waafrica bila kujitambua!!!

    ReplyDelete
  3. mind your business u will be O.K,usijitafutie presha ya bureee!!!

    ReplyDelete
  4. mbona ukumbi unaonekana empty? shoo wapi hilo?

    ReplyDelete
  5. Mbona huyu msichana yupo normal tu. Mimi sioni huo uzungu unaousema. Ngozi yake ni yake natural mwenyenzi Mungu kamjalia. Nyie wivu tu kumuona mzuri basi mnasema mikorogo... Acheni hizo kama nyie ndo mnatumia ili kung'aa basi mkae kimya lakini sio kutumia watu wengine kuondoa guilty zenu. Nenda kaangalie hii picha kwenye plasma tv yupo so normal na skin tone yake ipo sawa tu. Na haifade kuonyesha mchubuko wa ngozi.
    Msiandike kitu bila kuangalia vizuri msichan wa watu mzuri tu

    ReplyDelete
  6. Nakubaliana na Anoni aliyenifumbua macho. Hakika ni utumwa, tena huu wa akili ni mbaya zaidi. Na ndiyo maana wale waliomo katika utumwa huu wa akili - kasumba na kujidharau, hawakosi visingizio. Eti nywele za Kiafrika zinauma, hivi kabla ya ujio wa kemikali hizi walikuwa wanafanyaje? Na Anoni mwingine anadai eti wivu, wivu kumwonea mtu anayejionea aibu mwenyewe kutokana na maumbile yake!!!Hapana. Tena hawa wengine wajiita waumini, huku wakikosoa kazi ya mungu-kuumba.

    Haya jichubueni na nyoosheni nywele zenu mtakavyo, lakini mkijua kuwa mnajidharau na kujidhalilisha. Mnajikana kuwa nyie si nyie, nyie ni wengine. Poleni sana!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...