
rais wa zanzibar mh. amani abeid karume akipeana mikono na rt. hon. dr. rowan williams archbishop wa cantenbury leo baada ya chakula cha mchana hoteli ya serena zenj. Shoto ni askofu Donald ntetemela kiongozi wa kanisa la anglikana bongo. hivi sasa tuna ugeni mzito wa kanisa hilo ambalo linafanya mkutano wake hapa bongo


Michuzi mimi binafsi nawashangaa sana hao wageni wenu bongo, hivi kweli... ati wanajadili nini? ushoga kanisani? ama kweli mwisho wa dunia umefika. Its simply not logical to discuss Gay issues in church let alone having gays in church. Do these guys have Bibles? do they read? even if they dont,how come our African (Tanzanian) Anglicans allow such a terrible discussion on our holy land Africa? This is disgusting!!!!!
ReplyDeleteMICHUZI ULIHUDHURIA SUNDAY SERVICE PALE SOKO LA WATUMWA(ZAMANI)?.JOHN NGAHYOMA TULIMPATA BBC.
ReplyDeleteTUPATIE HIZO PICHA.NY,NY.
TUPATIE HIZO PICHA ZA SUNDAY SERVICE YA KIHISTORIA YA MAASKOFU ZANZIBAR
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteAnonymous wa saa Sunday, February 18, 2007 8:30:00 PM, labda wanakwenda na wakati!
ReplyDelete