karibu kila mkazi wa ei tauni ana simu ya bei mbaya...na anajua kuitumia ipaswavyo



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Wabongo mnakuwaga na simu za bei mbaya lakini hamzitumiagi kupigia watu simu kazi yenu ni ku-beep au ku-text tu. Ukienda Bongo jiandae kwa kila mtu kuku-beep maana hawana hela ya kupiga simu na gharama za kupiga simu ni kubwa sana.

    ReplyDelete
  2. yoooo bob issa mbona unaniacha hoi mshikaji sasa ei town ndo wapi tena? mare ukerewa mara sijui wapi acha hizo bob za mitaani, maana sisi wa huku ughaibuni hatujakanyaga bongo kama miaka kumi na kuendelea halafu ukitutupia vijineno na vijambo vya maneno kama haya unatuacha hoi bob sawa najua unataka kutia lazaa misemi yako lakin aah unatupa mawenge mwanangu kwa sisi wahu uhamimiaja.

    ReplyDelete
  3. ei town ni Arusha na inatokana na inavyojulikana kwa jina la A-Town. Mbona watu wengine vichwa vyenu vigumu sana halafu wewe utakaaje ughaibuni miaka 10 bila ya kurudi kwenu kusalimia?? Mimi niko States zaidi ya miaka 8 lakini kila likizo niko Dar nakula raha. Kama hamna makaratasi semeni tuwasaidie muende nyumbani mkasalimie.

    ReplyDelete
  4. SImu ya laki tano lakini una-beep, na ku-text ni aibu hasa wanawake. Na kama watu hawajaelimishwa, watakopa mabilioni ya kikwete kununua simu ya camera kama ilivyo fashion mijini.

    ReplyDelete
  5. Anon February 25 2:23 hapo ju wewe ndo ulistahili pongezi na zawadi kwa maoni yako safi. Sijui Issa yeye habari ya Bon Again Pagan kuhusu Kingunge imemvutia nini? hatujui maana kila mtu ana taste zake. Lakini huyu jamaa ndo anamwaga contemporary issues kwa life ya wabongo. Watu watakakopa mamilion ya Kikwete na kwenda kununulia simu za bei mbaya sana au kuongeza wake. Ilitakiwa elimu ya ujasiliamali kwanza. Vingenevyo, JK anashangaa! badala ya kupunguza umaskini kwa wasionacho, zitaongeza utajiri kwa walionacho hasa wauzaji wa vitu vinavyotuzuzua wabongo kama simu, hasa ya NOKIA N73 au Video Recorders za QS.

    Huyu mtoa maoni alistahili zawadi hasa. Hata hivyo, jaji ndo huwa final.

    ReplyDelete
  6. nakushukuru kwa kunielimisha anonymous wa feb 25 at 1:00 lakin unapomuelimisha mtu umuelimishe kwa nia mmoja siyo tena unamkebehi na kujitapa na kukashifuu, kwa taarifa yako bob kichwa changu kiko fresh na nakukua kichizi na zina panda kichizi na karibu nachukua phd yangu labda kichwa kinakuwa kigumu kwa maneno ya mitaani ya kufetua fetua na kiswahili mnacho kichafua siku hizi na shukran kwa paper lakin bob mimi ninazo paper niko fresh sema nisaidiye pesa ya ticket sawa kama unao moyo huo sawa na wala si utani mambo ya paper yote fresh kichizi sema pesa inagomba sasa tuasiliyane nini? jibu basi. na shukran tena kwa kunifahamisha kwa ei town hata kuitwa arusha haifanani.

    ReplyDelete
  7. Annoy 26 feb 3:56. Nakupa hongera. Umemjibu huyo mjinga ipasavyo. yeye anazania watu wasiokwenda bongo mda mrefu basi hawana Papers. Watu wengine wanajifanya tu...na ni akili ndogo tu. Kwenda bongo kutanua kila siku kama huna malengo inakusaida nini? Muulize shule atamaliza lini...? Kila siku yupo Freshman...lakini kila likizo yupo bongo na kundanganya danganya tu.
    "Growing older is mandatory but growing up is option."

    ReplyDelete
  8. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...