Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. kipanya u r very talent negro, hapa sina mbavu!

    ReplyDelete
  2. hahahhahaha, huyu bwana kiboko yaani basi sina la kusema. Hii kiboko Kipanya ''I salute You''

    ReplyDelete
  3. Wewe anony wa kwanza hapo juu, hiyo term "negro" ni very demeaning. Hapa U.S. unaweza pelekwa mahakamani kwa kumwita mtu mweusi "negro". Usipotoshwe na video za hip hop music.

    ReplyDelete
  4. mm hata mimi namuinulia mikono kipanya! kweli ni kiboko!!!! Ni hapo sasa uhamiaji usio na mashart, ndo maana wanaingia free,safari hii watafuata kina nani sijui? japo hatuombei hivyo, kama kupitia ng'ombe, kuku (ndege), mmmh!! sasa wakivamia hata mchele na mchicha si ndo tumekwisha, halafu wanakaribishwa tuu bila masharti!! hahahaa "hata mke utapata" hahahaa. rrr

    ReplyDelete
  5. Hi all.

    natafuta address ya Mh. B.W. Mkapa nitashukuru Michuzi na wengine ukinisaidia kuipata. Hata namba yake ya simu please, please, please.

    Ngalea.

    ReplyDelete
  6. mlalamikaji juu pale kuhusu negro, hili ni neno la kawaida tu kutambulisha watu wenye rangi kama yetu, nigger ndio kashfa, nigga nayo ni poa tu inategemea anayesema na anaeitwa wakati huo, usije kiofisa ukamwita msela wa mtaani nigga atakutengeneza!

    ReplyDelete
  7. Negro, Nigga, Nigger, Nizzle. It's all good homies. For shizzle my nizzle.AIn't got no time for this bullshit. Let me get some weed so I get high. A brotha got to relax with mary jane for a while.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...