washkaji dizaini hii pia wapo tele hata hapa dumila ambapo pananuka kwa utajiri

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hao lazima watakuwa wapemba waloenda kutafuta huko.

    ReplyDelete
  2. duh sasa ndugu yangu michuzi hapo mimi naona umechemsha kwa kushindwa kuwaelewesha wtnz wenzangu kuwa kupanda bycl kuwa ni ukata wamaisha sio kweli kwani hata nchi zilizo endelea hiyo ni moja ya mazoezi kuweze kuushughurisha mwili wako hata wewe inakubidi siku nyingine hukiwa huko home chukuwa bycl yako usipande mkoko wako siku km j,mosi na j,pili anzia huko ubungo mpaka feli alafu rudi zako ubungo najua hicho kitambi chako kitapungua na huwezi kupata ugonjwa wa kiarusi,wala ugonjwa wa kijinga jinga kwani mwili unakuwa na mazoezi badala ya kuubweteka huku ughaibuni hata mawaziri wanarazimishwa nilazima watumie bycl na kuna siku ambazo watu wanaambiwa hakuna usafiri ni siku ya kutumia bycl plz naomba waerimishe ndugu zetu thx

    ReplyDelete
  3. mwarabu hana mazoezi hata siku moja, pilipili anazokula dawa tosha ya kitambi na hayo magonjwa madogo madogo kama presha, kisukari, minyoo nk yanaondoka yenyewe, huyu anayetetea baisikeli lazima atakuwa Mkurya au msukuma LOL

    ReplyDelete
  4. Anon namba mbili hapo juu, unathibitisha kwamba wewe ni mkurya kwa kiswahili chako...

    Anyway, tunajua kutumia bycl ni mazoezi mazuri na ugaibuni kama mnavyopaita wanazitumia kwa purpose hiyo ila sio Dubai mwanangu..Dubai ni usafiri kama ulivyo morogoro, tanga, etc na in the process wanakata mafuta mwilini..Sawa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...