Home
Unlabelled
kiwinta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hakuna haja ya kutoa pole, kwani kwenye jengo kuna heater, na kwenye gari kuna heater. Kwa hiyo baridi una i feel muda mfupi sana wakati unatoka kwenye gari kuingia kwenye jengo,na pia una kuwa umevaa jacket/coat na gloves, na bara bara zinasafishwa na city/state government. Kwa hiyo picha isiwatishe.....
ReplyDeleteWewe hapo sijui unasema nini...baridi ipo bwana...labda kama unaishi Arizona...Hata kama jengo na gari lina heater. Wewe barabara zinavyosafishwa unazungumzia safari ya 20 minutes kwenye snow untumia 2 hrs? It is so damn hard. Ukivaa layers unasweat kishenzi na sijui unakoishi lakini kuku Jersey/NY city area pamoja na gari lakini parking ni another story. Tunahitaji pole kubwa sana tu na tuna miss home sweet home alot.
ReplyDeletelet get this straight:
ReplyDeleteBaridi ipo na sometimes inaumiza. Gari inabidi kusafisha snow na wakati mwingine hiyo parking yako pia. Kutokana na snow wakati mwingine ni better kuacha gari na kwenda kwa public transport(tube, underground au Metro, chagua yako)na ili kufika kituoni inabidi uchukue bus.
Pia uterezi na icicles (kiswahili zinaitwaje?)zinaangukaga vichwani.
Ila raha ya michezo ya winter hasa kwa watoto wetu waliozaliwa hapa, kutengeneza snow man (mind you, not snowman)na kuweka carrot chini na sio puani, snow run na mengineyo mengi. Muhimu kufanya hayo na toto zenu.
By the way pipa tulipanda wenyewe bila kusukumwa....
Blackmpingo
nani aliekulazimisha kukaa hapo kama unaona taabu we anonymous namba 2 hapo juu?..blah bla blah
ReplyDeleteHey nakaa hap kwa vile kazi ninayofanya kwanza sitaipata huko uliko. Halafu pia nikiipata huko rate yake itakau so damn low....
ReplyDeleteKwa hiyo nakaa hapa kwa ajili ya maisha ila kwanini nisiseme kama baridi inanikomesha...na anyesema tuna heater kwenye gari na nyumba...Hivyo vitu havisaidii ikiwa kuna snow kam kwenye hiyo picha....All the time utamiss bongo ikifika kipindi hiki....Na mimininamalengo yangu ya maisha ....mimi sio mtu wa kumbilia Jamaica wakati wa winter. I have the whole village back bongo wananitegemea. Just so you know I spoke for myself and I didn't include anyone especially YOU so if you have anything in your mind speak out otherwise just shut your bla bla bla mouth
This comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteHicho si kiwinter cha kulalamika.wanaume tunaishi kwenye Kiwinter cha uhakikika.
ReplyDelete