jumamosi nilienda kijiji cha makumbusho kula ngwasuma nikakuta hola. kuulizia nikaambiwa wiki ya pili sasa wako hapa mzalendo pub ambako nilikuta pameshona kichizi na wazee wa pamba walikuwa ndani ya nyumba. bado sijajua nini kimetokea pale makumbusho....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 21, 2007

    WASWAHILI NDIO WALIVYO WAKIONA MWENZAO ANAPATA BASI NDIO WANATAKA HAPOHAPO. SASA WANAAMIA JIRANI TUU, HAPO NI KULETA UHASAMA.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 22, 2007

    siyo hivyo mkuu ishu ni kwamba mmiliki wa makumbusho kaongeza kiingilio baada ya kuona mtu zina kuwa nyomi,wazee wa pamba wakamtosa mzalendo wakawabeba na ngwasuma kwa kwenda mbele.UZA NYUMBA LINDA HESHIMA BAA.KADIMA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...