
mdau mshindi wa shindano lilopita uliyeomba kubandikiwa humu globuni zawadi hii ya picha twin tawa zilivyo leo na mdogo wao wa zamani. naomba kuwasilisha. wadau wengine mbona mmekaaa kimya, ukiondoa pius aliyeomba zawadi yake nimtumie kwa kupitia email yake (mwenyewe kaomba nisiitaje). washindi naomba mnieleze zawadi zenu tafadhali na namna mnavyotaka zitolewe...


Michuzi,
ReplyDeleteMimi nilikutumia email kuomba picha pia baada ya ushindi ule wa mbinde wa ile picha ya Fire,Dar. Pekua email a/c yako utaona email from tanzanianboy@gmail.com na zawadi niliyoiomba.
Lakini mbona Michuzi hutoi zawadi kwa lile shindano la jamaa wanacheza mziki club? Uliuliza ile ni club gani na uliahidi zawadi ila hadi leo kimya.
Kazi njema kaka.
MICHUZI MDAKU WEWE!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeletewewe michuzi acha kutubabaisha bwana! hizo zawadi endelea tu kugawa kwa sababu hao walioshinda wamechemsha umewapa upendeleo tu. rangi zenyewe za bendera walizikosea. nasisitiza hakuna rangi ya `dhahabu hata kama hiyo link uliyosema imeeleza hivyo! wape tu hizo zawadi lakini hawakuwa washindi!!!!
ReplyDeletePicha ya Twin Towers za BoT, kwa wale mliopita JKT naomba kutoa hisia zangu kwa wimbo huu:
ReplyDeleteNikikumbukwa 'mapacha' hao
Naona uchunguuuuu
Nikikumbuka na kodi zetu
Naona uchunguuuu
Maamaaa oooh oooh ooohh
Naona uchungu
Anko michuzzzzzz!
ReplyDeleteAsante sana kwa zawadi nilioiomba.... hi picha nimeikubali.