Home
Unlabelled
algeria
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ca va bien uko algers?poa wana kamueni mludi na nondo izo uku bongo.vipi mbona wakongwe wa algers siwaoni hapo kwenye picha?akina bandola,mpelela,mshana,farid,challo,dulla na wengineo?dah nikiona hizo picha za algers nakumbuka obsa na kusikusi.abiento
ReplyDeleteAlgeria kuna elimu gani wadau, naomba mnitoe matongotongo.Hapa nina classmates wanatoka Algeria Wamekimbia kwao hakuna mpango,.H awa waTIZII wanachukua nondo gani kwenye horn of Africa. Inakuwa haieleweki.
ReplyDeleteSan Diego, CA
Mimi nina wasiwasi kuwa elimu watayoipata Algeria haitakuwa ya Kimataifa kwa kuwa haijulikani duniani kimasomo. Chuo kikuu cha Dar es Salaam kinajulikana kimataifa, kama hawana uwezo basi bora wangesubiri kupata scholarship katika nchi ambazo elimu yao inatamnulika kimataifa, la sivyo watapoteza mudwao tu, sidhani kama kuna bosi wowote wa kampuni Tanzania au popote atakayekupa kazi na degrii isiotambulika.
ReplyDeleteHicho ni chuo kikuu au madrasa ya dini ya kiislamu mbona wanafunzi wa kike hawapo kwenye picha?
ReplyDeleteWadau mmesau kipindi kule Bongo ilikuwa mtoto akishapanda ndege basi elimu ya huko aendako ndo elimu. Msiwashangae hao jamaa wanapata elimu gani. Mtaa mzima watu waliruka kwenda UK, USA, Germany, Sweden nk sasa wao wakapata channel ya huko waliko, and thier happy so msitake kujua elimu ya huko. wamepanda ndege "pipa" wakirudi sio kama waliobaki bongo kwa madai ya wengi
ReplyDeleteWacheni mazarau yenu jamani yaani kwa sababu mtu uko england au America basi. hapa england kuna madaktari kibao wametokea Algeria, wao sio wajinga walienda kusoma uko algeria na wengi kama hao baba zao niwanaufahamu wasomi.
ReplyDeleteAnon.. wa august 14, 7.51:00 AM EAT kutopigwa picha wanafunzi wa kike hakufanyi chuo kibadilike kuwa madrasa. Hiyo ni sehemu tu ya wanafunzi, bila shaka kama wanafunzi wa kike wangependa kupigwa picha na kujitangaza huku kwenye blog kama walivyofanya hawa jamaa ungeweza kuwaona.
ReplyDeleteAnony..1.26AM na 6.17AM fanyeni utafiti kwanza kabla ya kuponda elimu ya inayotolewa huko. Kama watu wamekimbia Algeria haimaanishi kuwa hakuna mpango na elimu haitambuliki. Uliza wizara ya sayansi na elimu ya juu watakuambia wamepeleka watu wangapi Algeria.
Kwa hiyo wewe ''uliyeko'' San Diego umekimbia Tz hakuna mpango na wala elimu yake haitambuliki kimataifa?
anony 7;51;am EAT una matatizo ya macho? Huoni hako ka binti pembeni kalikosuka kanavyopendeza? Lol!!!
ReplyDeletewabongo acheni wivu yaani hampendi wenzenu wawe na mendeleo!!!!! kila jambo nyinyi lazima mchangie whether wako kusoma au la hayawahusu je nyinyi mliobaki huko bongo mnafaidika nn?? nyway mi nawapa big up kwa sana maana u guyz r lukin hoooooooootttttt!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteSisi wengine ambao tuko Huku unyamwezini hatuna mpango wowote, kusoma tumesoma na box tunapiga wapi na wapi..
ReplyDeleteHeri yao hao, may be mambo yao yatawanyokea wakienda bongo.. Sisi wengi wetu shida zetu na elimu ya mbinde bongo ndio inatupeleka mbio..
Tuacheni kupiga box, tukaendeleze nchi-bongo
Michuzi, nadhani ule mpango wa kukusanya hadithi za zamani umekuja kwa wakati muafaka kabisa. Itabidi wachangiaji wengine waelekezwe kwenda kusoma vitabu vya hadithi za zamani kama Hadithi za ESOPO, Alfu Lela Ulela, Hekaya za Abunuwas nk, nk.
ReplyDeleteHii itawasaidia kuwapa mawaza mbadala wasiwe kama yule kipofu aliyefunguliwa macho kwa muda mfupi (akaona tembo) kabla ya kufumbwa tena. Nadhani wale tunaoifahamu hadithi tunaelewa vizuri sana, kwani kila kitu alichikisikia baada ya hapo alikuwa anauliza kama kinafanana na tembo. Amepiata panya sasa hivi hapa, je, anafanana na tembo?)
Msidhani ELIMU inapatikana Tanzania tu au Elimu nzuri iko UK na US tu, la hasha! mimi niko hapa US kuna watu hawajui lolote na shule wamekwenda. Jitahidini kuongea ukweli si kila kilicho katika nchi zilizoendelea ni bora kuliko mahali pengine.
wabongo wamechanganyikiwa , wanapenda kusifia UDSM mno. haijalishi kam umetoka UDSM au Chuo cha uhasibu . kitu muhimu ni kupata kazi nzuri itakayo support familia yako .
ReplyDeletekuna wakati mtu akitoka makerere ndo alikuwa anaonekana wa maana .
Boresheni utendaji makazini badala ya kuzungumzia umesoma wapi .
Tanzania hatuwezi kushindana na ALGERIA. na masomo ya sayansi kama udaktari nchi zenye asili ya kiarabu zinatoa madaktari mabingwa sana. nenda queen mary hospital au ST.THOMAS HOSPITAL Madaktari mabingwa ni waraabu.
ReplyDeletekuna watalaamu toka MISRI,IRAQ NA IRANI.
MISRI WANAONGOZA ZAIDI.
AYENASIFIA WAINGEREZA AU WAMAREKANI WAKATI WENYEWE WANA WAOGOPA WAHINDI KWENYE COMPUTER NA ACCOUNTS.
ALGERIA WAKO CLOSE NA UFARANSA TECHNOLOGY YAO NI WELL ADVANCED.
HATUWAWEZI. WANAINGIZA WATU KARIBU LAKI MOJA KWA MWAKA UNDERGRADUATE.
KAMA WAO WANATUPA SCHOLARSHIPS KILA MWAKA SISI NA UDSM YETU TUNAWAPA MSUMBIJI SCHOLARSHIPS?
KUNA NCHI NYINGINE YA SUDAN INA WATALAAM WAZURI KWENYE MEDICINE NA COMPUTER ATAKAYEPATA NAFASI ASILALE.
SUMAYE ALIKWENDA KUSOMA KENYA ITAKUWA NA ALGERIA?
VIJANA SOMENI NA UKIFIKA WAKATI WA HOLIDAYS MNAKUJA UK AU MAREKANI KUWAONA HAWA WABEBA BOX KAZI YAO KUNUNUA VYETI SHULENI HAWAENDI.
UTABEBA BOX 12 HOURS THEN ASUBUHI UNAJIDANGANYA KUWA UNAENDA DARASANI UTAILEWA? NYIE TUMIENI MUDA WENU KUSOMA.HAWA WABEBA BOX WAMECHANGANYIKIWA.ANAYESEMA UDSM INAJULIKANA KIMATAIFA MUONGO NCHI HAIJULIKANI ITAKUWA CHUO?
IDDI SIMBA ALIANZIA MASOMO PAKISTANI AKAJA KUWA GAVANA WA BENKI KWA AFRICA.AMEFANYA MASHIRIKA YA KIMATAIFA HAO WA UDSM WAENDEE KUSUBIRI.
yeyote yule amekuwa positive lazima ana akili na familia aliyetokea hata kama hawajasoma basi ni waelewa but the rest ni wa beba box wenzangu hafadhali mimi na beba box lakini nilisoma au vipi
ReplyDeleteMichuzi nadhani jamaa hawajawahi kuona vitu kama hivi. Wengi huropoka tu. Hebu waangalie link hizi:
ReplyDeletehttp://www.modernghana.com/GhanaHome/NewsArchive/news_details.asp?id=VFZSTk0wNXFVWGM9&menu_id=1&sub_menu_id=513
http://www.webometrics.info/top100_continent.asp?cont=africa
http://allafrica.com/stories/200707130866.html