

aboubaka liongo (kulia) na mdau bachalla hawana raha ughaibuni hivi sasa baada ya kusikia mambo magumu neshno ambako bado mambo ni 0-1. ila watoto wameanza mashambulizi. kuna uvumi wadau hapa neshno walisekia senego kala bee, wakashangilia sana. kumbe 1-1 na picha ya juu mpira ndo umekwisha na matokeo ni 0-1 mshindi akiwa msumbiji


Sen 3 - 1 Burk
ReplyDeleteSenegal 3 Burkinabe 1
ReplyDeletekoseni raha kwa umaskini na rushwa inayoshamiri tanzania.
ReplyDeleteMwaduga usikose raha.
ReplyDeleteTimu yetu bado changa na Mechi za kimataifa,hata kocha Maximo alisema tukubaliane na matokeo yoyote yale yatakayotokea,
2010 tutafika mbali timu yetu itakuwa imeivaa sana.
Mdau.
Annon juu,hizo ni sababu za mshindwaji.Utasemaje eti hatujakomaa, nani aliyekomaa?Kwanza bongo tumekomaa sana,enzi zile hivi nchi vyote vya east africa vilikua vinapigwa bao,wababe wetu walikuwa west na north africa tu.
ReplyDeleteKusini pia ilikuwa ni bao tu,leo hata msumbiji wanatufunga!!!!Bongo mpira umeisha lazima tukubali.
Inabidi tujipange upya ikibidi zianzishwe academy nyingi za michezo ili World cup ijayo tuwemo.
CHA CHANDU