aboubaka liongo (kulia) na mdau bachalla hawana raha ughaibuni hivi sasa baada ya kusikia mambo magumu neshno ambako bado mambo ni 0-1. ila watoto wameanza mashambulizi. kuna uvumi wadau hapa neshno walisekia senego kala bee, wakashangilia sana. kumbe 1-1 na picha ya juu mpira ndo umekwisha na matokeo ni 0-1 mshindi akiwa msumbiji

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Sen 3 - 1 Burk

    ReplyDelete
  2. Senegal 3 Burkinabe 1

    ReplyDelete
  3. koseni raha kwa umaskini na rushwa inayoshamiri tanzania.

    ReplyDelete
  4. Mwaduga usikose raha.
    Timu yetu bado changa na Mechi za kimataifa,hata kocha Maximo alisema tukubaliane na matokeo yoyote yale yatakayotokea,
    2010 tutafika mbali timu yetu itakuwa imeivaa sana.
    Mdau.

    ReplyDelete
  5. Annon juu,hizo ni sababu za mshindwaji.Utasemaje eti hatujakomaa, nani aliyekomaa?Kwanza bongo tumekomaa sana,enzi zile hivi nchi vyote vya east africa vilikua vinapigwa bao,wababe wetu walikuwa west na north africa tu.
    Kusini pia ilikuwa ni bao tu,leo hata msumbiji wanatufunga!!!!Bongo mpira umeisha lazima tukubali.
    Inabidi tujipange upya ikibidi zianzishwe academy nyingi za michezo ili World cup ijayo tuwemo.
    CHA CHANDU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...