bhoke na peter na wacheza ngoma ya kwao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 30 mpaka sasa

  1. So beautiful photo,,mmpendeza na wacheza ngoma wenu, Hongera tele, nawaombea afya, furaha na zaidi amani.

    ReplyDelete
  2. Hiyo ilikuwa ni ngoma gani eritingo ekibhurughe nerirandi au nini? ezeze a.k.a ekinanda I do not think so!! orughano?? Nah, It has to be eritingo au ekibhurughe.

    ReplyDelete
  3. HONGERA SANA BHOKE KWA NDOA. MOLA AKUPENI MAISHA YENYE KHERI NA BARAKA. KUMBUKA NDOA NI SAFARI NDEFU YENYE KUHITAJI SUBIRA NA UVUMILIVU. NAFAHAMU FIKA SIFA HIZO UNAZO. MSALIMIE RHOBI NA MMEO PIA. NIMEFURAHI SANA.

    AMANI IWE NANYI DAIMA.

    ReplyDelete
  4. Michuzi usiibanie hiii ni kitu origino kinachoendana na ngoma walocheaza hao jamaa na hakikisha Peter na Bhoke wanaisoma. anayetaka kufasili kazi kwake.

    engoko iraghonki iratusi na rubhere itaghote ooooh eeeeeh ooooh

    Tang'a orusiri mbohere echengu chengu yangire ngutentema ere.

    kuibhaka/ kujigamba
    tooo tooo tooo Neni kemura king'oni, erina rye kemura masomo gha bhana, omomura we ching'ombe, rituki ringa obhughonge, amaino ghanga amaghena ndatoma abhana bharanga mbane tukaghi ribhwema omobhwe ghomwe musani wane enka ikaghi harensi, hano yabhokire ighanchokera ndakubhora, nkahyora ekinyamaino nkaighecha mwighoti nkaitabhora omunu mbane ikagho harense nkaimera masomo gha bhana ngatema eng'oma.

    Bhoke nya chacha nyabhana, peter O'mwita no momura sana umuhencheere bhwahene abhe ne chenguru mbane, orosiko ruracha nakubhora araghutori, arakurora abhana, araghotugha bhwihene, aratiambi abhabhisa, arateghanda eghitara ne nyumba yo bhuroko arakwabhekera nadkubhora.

    Nimanyera na bhatanke moni, hata abhasirikale, arakini eghento kemwe ndabhabhora isabhana Peter na nyabhana bhane Bhoke mutacha kuebha kohira ka bhana.

    tigha ngende komisi amang'ana ghayo mbabhorire mughaitegheere bhukong'u.

    ReplyDelete
  5. hivi huyu ni bhoke Mukami? ,alipita or labda alisoma Mazinde juu lushoto?
    I am so happy that she is grown up and got married,shule ilikuwa ngumu kwake si unajua sheria tena na vikazi vya sister msaki.
    Hongera sana Bhoke .Dada yako from Mazinde Juu.1994.

    ReplyDelete
  6. KABILA GANI SASA HILI MBONA MNATUCHANGANYA?? AU MNADHANI WENGINE TUNAELEWA ? BWANA EE! WEKENI MAMBO YAJULIKANE, ANDIKA BASI HIVYO AT THE END OF THE DAY USEME KABILA GANI!

    ReplyDelete
  7. Maricha inaonekana kwamba wewe ni mkurya lakini sio mkurya orijino. Mbona kikurya chako kimepindapinda?
    Halafu utashindwaje kufahamu hiyo ngoma?

    Kwa taarifa yako hiyo ngoma inaitwa isurrruu. Kutamka jina lake lenyewe ni lazima uwe umekula umshiba. Si unaona hizo "r"?

    Hii ngoma ni maarufu wakati wa kumtawaza mzee (na mkewe kama atakuwepo hai)kuwa mzee wa kimila.Hawa ni wazee ambao ni maarufu ktk maauzi muhimu yahusuyo kabila(tribe) au ukoo fulani wa kikabila(subtribe).Katika maswala ya kulogana pia wanakuwa hawajambo!

    ndimi tpaul(agent)

    ReplyDelete
  8. Hongera sana Uncle Peter & Bokhe mmependeza sana.
    wellcome to Columbus....Bokhe

    ReplyDelete
  9. Hizo costumes za traditional dancers wakiume nadhani ni leopardskins za wanyama endangered. sikosoi ila si vema kuendelea na na uwindaji wa wanyama kwaajili ya asthetics. vinginevyo hongereni maharusi.

    ReplyDelete
  10. Hongereni sana Peter na Bhoke! Mungu awazidishie na muishi maisha yenye heri na furaha tele!

    ReplyDelete
  11. Duuh maricha wewe ndio umekuja kunikoroga kabisa kwani hawa waharusi na hawa wapiga ngoma walikuwa washanichanganya najaribu kufatilia vizuri wewe umeandika mkoroganyo kabisa sasa hata sijui nifuatilie lipi.

    ReplyDelete
  12. Hongera sana Peter na Bhoke. Hongera Peter kwa kuoa mwanamke mzuri kutoka nyumbani.

    ReplyDelete
  13. KWANI HAO NI WAKINA NANI? TUFAHAMISHE BASI MICHUZI,SEMA BHOKE NA PETER WANAFANYA WAPI AU WAKINA NANI ILI TUJUE AU KAMA MDAU UNASEMA KAMA USEMAVYO SIKU ZOTE.NI HAYO TU.

    ReplyDelete
  14. wow bhoke u look stunning i love ya wedding gown u look gorgeous hongera sana wewe na ur husband wako Mungu awape ndoa njema na furaha katika nyumba yenu tunasubiri ya rhobi Mungu ampe na yeye mume mwema

    ReplyDelete
  15. Tobhiasi Chacha basi inaonekana wewe ndio hujui hicho kilugha nilichoandika kwani kama ungejua basi asingalisema kimepinda pinda. kikenye, kikirobha, Kiikoma, Kinata, Kingoreme, Kizanaki, kiikizu, kinyabhasi, kinyamongo vyote hivo ni kikurya na havifanani.

    wewe utasena waraye, mie ntasema waraire na ntakuwa ijakosea kitu. utasema ghisaka (kisima) mie ntasema eghesima au eghitaro na ntakuwa sijakosea pia. mbali na hapa kuibhaka (kujigamba) unatumia lugha ya kisanii na hiyo ndio nimetumia nikakupoteza. hehehehe.

    ReplyDelete
  16. Abhakurya bhetu, I'm so happy to see you guys to be proud of our culture. Bhoke na Pheter mungu abhalinde na abhatanguri ubhuhore. Wakurya oyee!!!!

    ReplyDelete
  17. Congratulations Peter and Bhoke!
    Kevin and I found your pics on line today- Congratulations on your big day and a lifetime of happiness and joy to you both!!
    Hope to meet you in Columbus Bhoke - welcome to the states - Therese E

    ReplyDelete
  18. Huyu Siyo Peter Kirigiti anakaa Columbus, OHIO?? Wewe unayesema ameoa mke kutoka nyumbani hujui, huyo dada ni Mkenya, yuko nae siku nyingi sana, anaitwa Anne-au ndiyo jina lingine Bhoke??

    ReplyDelete
  19. Congratulations, Peter and Bhoke! Best wishes for a lifetime of good fortune, and happiness together. Welcome, Bhoke, to the U.S. Everyone at Mettler Toledo is looking forward to meeting you and welcoming you to the MT family.

    ReplyDelete
  20. JAMANI BHOKE NA PETER MMEPENDEZA, MUNGU AWABARIKI. NAKANDAMIZA KINYAKYUSA NA MIE "TUNTUFYE KYALA GWITU", KICHAGGA "RUWA NYAWANIINGE MBORA TAKE MUONE MONA NCHA WOMI NA WAKA" HE HE HE BHOKE KAMA HUELEWI MWAMBIE H TO THE Y AKUDADAVULIE!! ALL THE BEST DEARS!!

    ReplyDelete
  21. Amang'ana nameiya. Naona wakurya hatujachacha. Inabidi siku moja tufanye re-union ya wakurya woote.

    ReplyDelete
  22. Gam Petro a'amenir ta duxu ka lowaa hhohho!Dir kawaslee xae? Gam loar dorii nu loowaa tsuuq. Naa'a yari laqwalag dasu ne daqay. Gam dasuu ikaahii daqa iamaa? dasuu iakahi daqaa iamaa? Petro dirqiwaslay a dimaa?

    Sayitaakee slemeroo?

    Akonaay Diranqw

    ReplyDelete
  23. Nyie wakurya kwa ukabila tu!mbona mnatuacha wa-TZ wengine solemba sasa? maana wengine kiswahili tu ndo kinapanda.

    ReplyDelete
  24. Anonym wa 9:32 Akoo Diranqw,Garmaa saitaa?haigen?Naas

    ReplyDelete
  25. Lugha gongana!!!

    Jamaa kaigonga hapo juu. Ni wapi hapo wajameni mbona kama Iraq??

    ReplyDelete
  26. Pheter! Bhono umukungu we kikurya unyore, utinghe abhana bale bha ikichungu chumba hala. Umona uyo nu mweya kabisa wa kulwa ka, Mungu abhaturi bhoswe.

    ReplyDelete
  27. Abhato bhayo yeki bhalingi kuibhaka. Hanu ndamaha amang'ana ghoswe ngahwenile. Itahana ino niyo nkabhayi ninywe ubhusara. Ubhusara mbole ho ku inyangi yenyu?

    ReplyDelete
  28. Bhoke my friend you look so beautiful.Hongera sana. it is so amzing how time flies try to remember ilvyokuwa kwa sister Msaki. Now that u r married u shud respect each other. Build a home and not a house

    ReplyDelete
  29. Peter na Bhoke, Hongereni sana! You look great together! Beautiful and Happy too.

    Sisi tunawatakia kila la kheri kwenye maisha yenu, na tunawakaribisha sana huku. We do hope to see you;-) All the best....

    Yvonne Matinyi (Mama Mwita & Chacha)

    PS: Kwa wale wasojua bado, hao ni wasanii wa ngoma ya "Ritungu" yenye asili ya KIKURYA, mkoani Mara. Proud to be one!

    ReplyDelete
  30. MMEPENDEZA SANA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...