maharusi wakikata keki ya boga. shoto ni bestimani mwafrika merinyo na kulia ni matroni wa heshima ailinda sawe a.k.a mama afrika sana


maharusi wakilakiwa ukumbini

bi harusi da'mija na matroni wake ailinda

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. kwa wale ambao kihaya ni reachable ,ogu omushaija na mkaziue mbanywa enjai ,

    ReplyDelete
  2. kaka michuzi hii harusi nimeipenda sana nawatakia maisha mema wazo langu ni katika mwisho wa mwaka zitangaze harusi bora hii pamoja na ila ya couple waliovaa kawaida inapendeza kuona bado kunawatu ambao wanaendeleza asili maana watazania wengi ni malimbukeni sana wanapenda kuiga hata kama hawana. maharusi endeleeni na tabasam la upendo na furaha jah bless.

    ReplyDelete
  3. SAMAHANI SANA WADAU WENZANGU ILA MIMI KWAKWELI SIJAPENDA!WAMEONEKANA KAMA GIZA VILE

    ReplyDelete
  4. Kaka Michuzi nakushukuru sana kwa kuweka hizi picha zinazo onyesha wenzetu walivyo pendeza kwenye harusi yao na mavazi yao ya kiasili. Maana tulishachoka kuona mapambo ya akina Vayle Springs na Monica. Mungu awajalie maharusi, waishi pamoja kwa amani na upendo. Pia awajalie watoto ambao wataendeleza utamaduni huu. Safi sana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...