Home
Unlabelled
boga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kwa wale ambao kihaya ni reachable ,ogu omushaija na mkaziue mbanywa enjai ,
ReplyDeletekaka michuzi hii harusi nimeipenda sana nawatakia maisha mema wazo langu ni katika mwisho wa mwaka zitangaze harusi bora hii pamoja na ila ya couple waliovaa kawaida inapendeza kuona bado kunawatu ambao wanaendeleza asili maana watazania wengi ni malimbukeni sana wanapenda kuiga hata kama hawana. maharusi endeleeni na tabasam la upendo na furaha jah bless.
ReplyDeleteSAMAHANI SANA WADAU WENZANGU ILA MIMI KWAKWELI SIJAPENDA!WAMEONEKANA KAMA GIZA VILE
ReplyDeleteKaka Michuzi nakushukuru sana kwa kuweka hizi picha zinazo onyesha wenzetu walivyo pendeza kwenye harusi yao na mavazi yao ya kiasili. Maana tulishachoka kuona mapambo ya akina Vayle Springs na Monica. Mungu awajalie maharusi, waishi pamoja kwa amani na upendo. Pia awajalie watoto ambao wataendeleza utamaduni huu. Safi sana!
ReplyDelete