hapa ni dar. mtembeleeni dogo richard mushi hapa http://richardmushi.blogspot.com/ muone hayo na mengi mengine kwenye globu yake..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Dogo anajitahidi, lakini Kaka/Baba zake mfundisheni maana na tofauti ya TRADE MARK na COPYRIGHT.
    Anjajichanganya na d as a result atawachanganya watu wengine pia.
    Halafu mwambieni kama inglish iz not richabo, aandike kwa kishwahili tu kwanza wakati akiendelea na ile English tuition pale nanihii.

    ReplyDelete
  2. Hizi hoteli ni za kimachame nini?Kikwete &Shein hawataki kabisa kuona website zilizo tengenezwa na hawa watoto,protocol imeingilia kati isipokua bado TTB(Tanzania Tourist Bord wanawapa malazi watu wanao mtangazia mushi biashara kama vile Franco.Bongo ukishaonekana tu na foregner basi eti una dili kumbe ni utapeli tu mtupu.
    Jamni tuamke.TTB tuamke.

    ReplyDelete
  3. richard kaza mwendo dogo, utuwakilishe vizuri katika soko hili kubwa linalokuwa la tekinolojia! English yapo ipo fresh na endelea kujifunza, usisikilize maneno ya watu 'muchknow'.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...