wadau wa timu za houston na atlanta kabla ya gemu lao la mpira wa kikapu ambapo houston ilishinda 56-36 katika mchezo uliokuwa wa vutanikuvute.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Oya Team ATL hamna Jezi washikaji au hela zote zinaishia Magic City na Cheetah

    ReplyDelete
  2. houston wamezidi siajabu hata hizo jezi wamecheza dili kama kawa yao mahana alipo sabas mnub, adadi,kayala lazima kitu kiende chini....
    ongereni kwa kuwashinda hao washamba wa a-town....
    kasera
    kc,ks

    ReplyDelete
  3. Oyaa namwona Albert Rwehumbiza hapo, vipi game lako ume- improve? Manake nilikuwa na dunk kwenye uso wako pale Ruvu, na timu yote ya kibaha.

    Columbus

    ReplyDelete
  4. aaah kaka Robin aka Chezo..nakuona hapo...Salaam kutoka Dodomia..
    Mdogo wake Jombiz hapa

    ReplyDelete
  5. Na huyo aliyejishika "privates" zake ni nini??? katikati - mwenye green shorts
    Haoni hata aibu...mambo ya wanugu uwache huko huko....basi ungekuwa mrefu u-stand out.

    ReplyDelete
  6. Thanks for all basketballas from Boston,Seattle,New York,Dallas,Kansas,Alabama,Atlanta and HOUSTON (H-TOWN) for putting basketball in the map of USA(Tanzanian) once again. For more picture go to Hi5...Peter Bategeki.
    Karibuni Houston thanksgiving.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...