klabu ya lidaz ni sehemu mojawapo ambapo wadau wengi hukutanika. hapa toka shoto ni majuto omary wa mwananchi, mie, kocha jamhuri kihwelu 'julio', mwandishi na mpiga picha wa majira ben kisaka na mdau ambapo kila mmoja kavaa jezi ya timu aipendayo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. LEO JIONI HUKO CHICAGO KATIAK MECHI YA KIRAFIKI BRAZIL IMEITWANGWA USA 4-2 KATIKA MCHEZO ULIOKUWA VUTA NIKUVUTE. TIMU YA BRAZIL IKIWA FULL MKOKO ILIITUNDIKA TIMU HIYO YA USA KATIKA UWANJA WAO WA NYUMBANI HUKO MJINI CHICAGO... BRAZIL JUMATANO JIONI WATAJUTUPA TENA UWANJANI KUCHEZA NA MACHICANO HUKO NEW JERSEY...MNAWEZA KUONA ILO PAMBANO KWA KUPITIA ESPN2 AU UNIVISION KWA WALE WANAOISHI MAREKANI TU.
    kasera
    kc,ks

    ReplyDelete
  2. Michuzi hiyo jezi soo, inakutia nuksi usiivae.

    ReplyDelete
  3. Bro Michuzi unanipa feelings kama uko kila mahali.Kinachonishangaza ni kwamba Bongo kuna foleni za magari barabarani. Mwenzetu una usafiri gani?

    ReplyDelete
  4. huyo kocha hana timu afundishayo?
    Au unamaanisha hapendi timu aifundishayo?
    Kweli ukoloni mambo leo uko damuni mwetu

    ReplyDelete
  5. Mwanangu nimeona hilo boli la wabrazil na wamarekani ilikuwa sooo!
    wabrazil wamebadilishana wakawatoa hata nyota lakini kila aliyeingia ilikuwa noma. kumbe Ronadinho, kaka, Robinho hata Baptista bado ni wakali! wamarekan hawakuamini macho yao wanafungwa kama wamesimama. baada ya kusawazisha bao la pili wakajiamini kweli wakadhani wanaujua mpira, wee kikawapata cha mbwa mwizi.
    kama una muda usikose kuangalia hiyo mechi ya jumatano uone vipaji.
    Chikaka.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...