On the 9th of September 2007 His Highness Shaikh Khalifa bin Zayed Al Nahyan, President of the United Arab Emirates received letters of credence of 10 new envoys to the UAE amongst them was His Excellency Mohamed Maharage Juma (red tie) who is Ambassador Extraordinary and Plenipotentiary of the United Republic of Tanzania to the United Arab Emirates

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. YAANI MAJINA YA KIBONGO ASILIA NAYAPENDA SANA.HEBU CHEKI HAYA

    MICHUZI,MAHARAGE,SIYAWEZI,MUSIBA,MATATIZO TEE TEEE!!! BURUDANI TOSHA!!

    ReplyDelete
  2. Michuzi's English is now'reachable'.

    ReplyDelete
  3. Kiingereza bwana mhhhh...

    Ambassador extraordinary..

    Hivi Huyu Maharage ni Ambassador extraordinary,ni extraordinary kwa kitu gani? mtufafanulie wengine kiingereza hatujui.

    ReplyDelete
  4. Anon 09:51 PM, Umesahau jina moja, HANDAKI kwa kifupi NDAKI!

    ReplyDelete
  5. Yaani jamani nyie wengine mnataka anza bifu na Ndaki wa watu!!mi simo kwani kawaambia fumbo mtaje jina lake kwa kirefu??
    mwenyewe kanyamaza we unamchokoa!!haya!!

    ReplyDelete
  6. Umesahau jina moja Hippoppotamasi Msafiri.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...