mwali atayetolewa kuwahudumia taifa staaz akipakwa wanja usiku huu kwenye duka jipya la magari la pedejee wa magari charles mtawali lililopo mtaa wa moroko mkabara na karakana ya bmk. anayesimamia kazi hiyo ni bosi wa masoko wa nmb anko imani kajura

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Naipongeza sana Bank ya NMB na Serengeti lager kwa tafu wanayoipa Taifa Starz. they have shown to be good Corporate citizens of TZ.

    Japo historia ya NMB ina machungu yake kidogo - kama unakumbuka longolongo wakati wa kuuzwa kwa hii bank. lakini sasa tunapata faraja kinamana kwa michango inayotoa ktk jamii.


    Huo mchango wa basi ni mchango ambao utaipa Taifa Starz utambulisho pindi wanapokuwa safarini. pongezi NMB na Serengeti na pongezi kwa serikali kwa ujenzi wa Neshno mpya.

    ReplyDelete
  2. HEE HILI NDIO BASI LAO NA LIMETOLEWA NA BENKI NMB..LA HAULA LAKWATA

    ReplyDelete
  3. wewe huyo anaitwa Iman Kajula sio Iman Kajura.

    Tofauti;
    Kajura= mhaya
    Kajula= Mnyakyusa

    Huyo jamaa ni mnyakyusa

    ReplyDelete
  4. We Imani Kajula sasa unachemsha kila siku wabadilisha mabenki mara CRDB,mara TPB mara NMB..na huko ukishaiba viposho utaondoka wende Mufindi au Mwanga community bank..pamoja na soko huria bro tulia kumoja pia punguza mapomp ya kishomile.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...