Home
Unlabelled
nondozzzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hongera kaka Balazi nakutakia kila la kheri mambo mazuri hayo, naomba tu tuwasiliane niko USA
ReplyDeleteATHUMAN KATUGA
USA
Michuzi kweli blog yetu hii haina ubaguzi ni blog ya watu, Maana watu wamezoea kuona watu warefu tu. Hapa kwa michu"HATA MBILIKIMO" Nao wanapewa nafasi, hii inaonesha ni jinsi gani jamii ya MBILIKIMO nayo inaanza kuona matunda ya kupata elimu. Hongereni sana mbilikomo.
ReplyDeleteHAYA GEORGE NIMEKUKUBALI HONGERA SANA TENA SANA SANA KWA JUHUDI ZAKO, CHETI UNACHO TENA CHA MBA KAMA ULIVYOKITAKA. WAPAMBE KAZI KWAO WATAJIJU KUHOJI MBILIKIMO NADHANI HAWAKUFAHAMU, BIG UP BROTHER.
ReplyDeleteSISTER WAKO WA MANCHESTER
hongera sana bro ingawaje sikujui,na wewe ng'ombe wa 10.00 kichwani ni fisi maji tuu na comment zako zimelenga to degrade Mr Balazi kwa ajili ya wivu au akili yako chafu tuu na ndio maana hujasoma ni wivu na roho mbaya tuu...kama yeye mfupi tatizo nini zaidi ya maumbile ya mtu...you're just ugly fat ass
ReplyDeleteGeorge hongera sana, mimi ni Peter wa Kanyeye, nipo hapa Marekani sipo tena Leeds tangu 2004. Tuwasiliane basi, unakumbuka tulikutana Tabora very briefly... email yangu bwana ni tdypeter@yahoo.com. Nipo Georgetown University, vipi Tabora lini?
ReplyDeleteHongera mdau... Hongera mpambe George Tandiko pia, kijana nilikuacha pale USagarani.
ReplyDeleteHONGEEEEEEEEEEEEEEEEEERA.
ReplyDeleteKaka nimekubali,pamoja na comments za wototo sio kitu ingekuwa kudhurika nazo basi za UYUI na MSANGE Camp zingekuua tatizo hawakufahamu Bro KUNDE.Mwanzo mzuri
michu huyu kaka kabila gani?????msukuma??mnyakyusa???...mie nimemaind pale kny suruali tuuu!!!!!!!!..anaonyesha mambo flani kajaliwa!!!..msinitolee mimacho nyie wenye vibamia!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteDu kweli hayawi yamekuwa jamaa namfahamu sana ni mpenzi mkubwa wa bwawa la maini na enzi zake alikua MCHANJAJI wa kutupwa kule Reading hasa maeneo ya Bongo flava nilisikia amerudishwa du kumbe watu si wakweli haya kaka hongera kwa degree karibu sana Bongo ila uache kuchanja huku ni noma
ReplyDeleteKWA NINAVYOMJUA GEORGE BALAZI JAMAA NI NOMA ANAVYOJUA KUONGEA TUTAKOMA WAOSHA VINYWA, HAYA KAKA URUDI BONGO SASA HUNA KISINGIZIO WENZIO WANA WAJUKUU SASA NA UMRI HAUKUSUBIRI, NASIKIA NI BOSI WA WABONGO WANAO OSHA MAGARI HUKO LINCOLN
ReplyDeleteHONGERA SANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Wewe kumbikumbi wa 4.54 AM, kumbe mtu mwenyewe ni product ya UYUI, enzi za Patel headmaster, hela yako tu, UYUI ya wakati ule ilikuwa ni ya Vilaza Kinoma Kazi kuendekeza ubishoo na kuoneshana nani ana uwezo wa kuingia KASU hotel kila siku, sio nani anauwezo wa kupata A Darasani, kwa Taarifa yako mimi ni product ya KAZIMA na sijawahi kufeli toka nizaliwe. There is no doubt that huyu jamaa ni yule mbilikimo niliyekuwa namuona Pale Uyui akiwanunulia mihogo ya mzee Amiri wapambe wake. Nafikiri na wewe ni mmoja wa wale wapambe waliokuwa wakinunuliwa mihogo na siku moja moja kuingizwa Kasu
ReplyDeleteHongera sana George, kumbe ni George wewe tulikuwa wote Msange JKT then ukaenda Arusha chuo cha Uhasibu, sijui ilikuwaje ukaacha kule.Hongera sana ndugu yangu. Wakina Achembo, Iddi, Shija na bila kumsahau Roger Mkopi na Richard Madeni sijui wako wapi. Ila Combania yenu mlikuwa mabishoo.
ReplyDeleteAcheni ushamba jamani, huyu kaka mi namfahamu siyo mbilikimo ni picha tu imepigwa vibaya hiyo.
ReplyDeletewewe anony unayeita watu kumbikumbi na kukashfu na kusema walinunuliana mihogo hivi unawashwa na nini ?? TUKUPE GUNZI NINI?? nyamaza na FUNGA BAKULI LAKO KAMA HUNA CHA KUSEMA WEWE... UMEONA WATU UNAKURUPUKA KUMBE MBILIKIMO WANAPATA NONDO MARA UYUI HAWANA AKILI, INAONEKANA ULISOMESHWA NA KIJIJI NA NI LI RADICAL FLANI HIVI, NADHANI UNASHIDA HATA KU KEEP DEMU WEWE, NADHANI WEWE NI WA KUJIPIGA SABUNI KUPATA MSHINDO... MICHUZI USIBANIE COMMENT ZANGU... LALA MBELE NA GEORGE SONGA MBELE, CHAAAAAAAA !
ReplyDeleteKwani hata kama angekuwa mbilikimo bado si ni binadamu.
ReplyDeleteHahahahaha, Kumbe "Msabaha" Baba Latifa!!, Nimejua baada ya Anon wa 9:35AM kuwataja majina trupu la UYUI Poa mkuu nilikuwa namshambulia huyu jamaa yako mbilikimo. Ha kama ni kizazi hicho basi jamaa ana moyo maana kwa umri wake kajitahidi mbilikimo wetu. Poa "Baba Latifa" Mfungo mwema
ReplyDeleteREF: MBILIKIMO SUBJECT!
ReplyDeleteHIVI MIMI LABDA SIJUI KWANI KUITWA MBILIKIMO NI TUSI KAKA MICHUZI? MAANA YA MBILIKIMO NI MTU MWENYE FUTI MBILI NA HASHEEM THABIT NI SABA KIMO! SASA HUYO PIMBI HAPO JUU ANA MAANA GANI WAKATI HUYO BROTHER HAPO JUU NI 2 FEET, AMA MBILIKIMO KWA KISWAHILI! MIMI NAKU SAPPORT KWA ASILIMIA MIA MOJA KAKA ULIYEMWITA HUYU KIJANA ALIYE FUZU MASOMO UKELEWE MBILIKIMO.IMEFIKA WAKATI TUAMBIANE UKWELI HII BLOG NI NZURI ASANTE MICHUZI KUWAKUBALI HATA MBILIKIMO KUONEKANA KATIKA HII BLOG SIO KINA SABA KIMO TUUUU!
wewe wa mbilikimo subject ni chuki binafsi tu ndio nasema ........na wewe uliyeongezea kuwa unakawaida ya kupata A darasani sasa hivi unafanya kazi gani, unawataja wenzio majina mwenyewe umejificha toka na picha yako ya nondo mojakimo we !
ReplyDelete