mdau george balazi mara baada ya kula nondozz yake ya mba international marketing strategy akiwa na mdau wa ukerewe george tandiko naye alikuwepo kumpa tafu kwenye mahafali ya chuo kikuu cha lincoln univesity majuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. hongera kaka Balazi nakutakia kila la kheri mambo mazuri hayo, naomba tu tuwasiliane niko USA
    ATHUMAN KATUGA
    USA

    ReplyDelete
  2. Michuzi kweli blog yetu hii haina ubaguzi ni blog ya watu, Maana watu wamezoea kuona watu warefu tu. Hapa kwa michu"HATA MBILIKIMO" Nao wanapewa nafasi, hii inaonesha ni jinsi gani jamii ya MBILIKIMO nayo inaanza kuona matunda ya kupata elimu. Hongereni sana mbilikomo.

    ReplyDelete
  3. HAYA GEORGE NIMEKUKUBALI HONGERA SANA TENA SANA SANA KWA JUHUDI ZAKO, CHETI UNACHO TENA CHA MBA KAMA ULIVYOKITAKA. WAPAMBE KAZI KWAO WATAJIJU KUHOJI MBILIKIMO NADHANI HAWAKUFAHAMU, BIG UP BROTHER.

    SISTER WAKO WA MANCHESTER

    ReplyDelete
  4. hongera sana bro ingawaje sikujui,na wewe ng'ombe wa 10.00 kichwani ni fisi maji tuu na comment zako zimelenga to degrade Mr Balazi kwa ajili ya wivu au akili yako chafu tuu na ndio maana hujasoma ni wivu na roho mbaya tuu...kama yeye mfupi tatizo nini zaidi ya maumbile ya mtu...you're just ugly fat ass

    ReplyDelete
  5. George hongera sana, mimi ni Peter wa Kanyeye, nipo hapa Marekani sipo tena Leeds tangu 2004. Tuwasiliane basi, unakumbuka tulikutana Tabora very briefly... email yangu bwana ni tdypeter@yahoo.com. Nipo Georgetown University, vipi Tabora lini?

    ReplyDelete
  6. Hongera mdau... Hongera mpambe George Tandiko pia, kijana nilikuacha pale USagarani.

    ReplyDelete
  7. HONGEEEEEEEEEEEEEEEEEERA.
    Kaka nimekubali,pamoja na comments za wototo sio kitu ingekuwa kudhurika nazo basi za UYUI na MSANGE Camp zingekuua tatizo hawakufahamu Bro KUNDE.Mwanzo mzuri

    ReplyDelete
  8. michu huyu kaka kabila gani?????msukuma??mnyakyusa???...mie nimemaind pale kny suruali tuuu!!!!!!!!..anaonyesha mambo flani kajaliwa!!!..msinitolee mimacho nyie wenye vibamia!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  9. Du kweli hayawi yamekuwa jamaa namfahamu sana ni mpenzi mkubwa wa bwawa la maini na enzi zake alikua MCHANJAJI wa kutupwa kule Reading hasa maeneo ya Bongo flava nilisikia amerudishwa du kumbe watu si wakweli haya kaka hongera kwa degree karibu sana Bongo ila uache kuchanja huku ni noma

    ReplyDelete
  10. KWA NINAVYOMJUA GEORGE BALAZI JAMAA NI NOMA ANAVYOJUA KUONGEA TUTAKOMA WAOSHA VINYWA, HAYA KAKA URUDI BONGO SASA HUNA KISINGIZIO WENZIO WANA WAJUKUU SASA NA UMRI HAUKUSUBIRI, NASIKIA NI BOSI WA WABONGO WANAO OSHA MAGARI HUKO LINCOLN

    HONGERA SANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete
  11. Wewe kumbikumbi wa 4.54 AM, kumbe mtu mwenyewe ni product ya UYUI, enzi za Patel headmaster, hela yako tu, UYUI ya wakati ule ilikuwa ni ya Vilaza Kinoma Kazi kuendekeza ubishoo na kuoneshana nani ana uwezo wa kuingia KASU hotel kila siku, sio nani anauwezo wa kupata A Darasani, kwa Taarifa yako mimi ni product ya KAZIMA na sijawahi kufeli toka nizaliwe. There is no doubt that huyu jamaa ni yule mbilikimo niliyekuwa namuona Pale Uyui akiwanunulia mihogo ya mzee Amiri wapambe wake. Nafikiri na wewe ni mmoja wa wale wapambe waliokuwa wakinunuliwa mihogo na siku moja moja kuingizwa Kasu

    ReplyDelete
  12. Hongera sana George, kumbe ni George wewe tulikuwa wote Msange JKT then ukaenda Arusha chuo cha Uhasibu, sijui ilikuwaje ukaacha kule.Hongera sana ndugu yangu. Wakina Achembo, Iddi, Shija na bila kumsahau Roger Mkopi na Richard Madeni sijui wako wapi. Ila Combania yenu mlikuwa mabishoo.

    ReplyDelete
  13. Acheni ushamba jamani, huyu kaka mi namfahamu siyo mbilikimo ni picha tu imepigwa vibaya hiyo.

    ReplyDelete
  14. wewe anony unayeita watu kumbikumbi na kukashfu na kusema walinunuliana mihogo hivi unawashwa na nini ?? TUKUPE GUNZI NINI?? nyamaza na FUNGA BAKULI LAKO KAMA HUNA CHA KUSEMA WEWE... UMEONA WATU UNAKURUPUKA KUMBE MBILIKIMO WANAPATA NONDO MARA UYUI HAWANA AKILI, INAONEKANA ULISOMESHWA NA KIJIJI NA NI LI RADICAL FLANI HIVI, NADHANI UNASHIDA HATA KU KEEP DEMU WEWE, NADHANI WEWE NI WA KUJIPIGA SABUNI KUPATA MSHINDO... MICHUZI USIBANIE COMMENT ZANGU... LALA MBELE NA GEORGE SONGA MBELE, CHAAAAAAAA !

    ReplyDelete
  15. Kwani hata kama angekuwa mbilikimo bado si ni binadamu.

    ReplyDelete
  16. Hahahahaha, Kumbe "Msabaha" Baba Latifa!!, Nimejua baada ya Anon wa 9:35AM kuwataja majina trupu la UYUI Poa mkuu nilikuwa namshambulia huyu jamaa yako mbilikimo. Ha kama ni kizazi hicho basi jamaa ana moyo maana kwa umri wake kajitahidi mbilikimo wetu. Poa "Baba Latifa" Mfungo mwema

    ReplyDelete
  17. REF: MBILIKIMO SUBJECT!
    HIVI MIMI LABDA SIJUI KWANI KUITWA MBILIKIMO NI TUSI KAKA MICHUZI? MAANA YA MBILIKIMO NI MTU MWENYE FUTI MBILI NA HASHEEM THABIT NI SABA KIMO! SASA HUYO PIMBI HAPO JUU ANA MAANA GANI WAKATI HUYO BROTHER HAPO JUU NI 2 FEET, AMA MBILIKIMO KWA KISWAHILI! MIMI NAKU SAPPORT KWA ASILIMIA MIA MOJA KAKA ULIYEMWITA HUYU KIJANA ALIYE FUZU MASOMO UKELEWE MBILIKIMO.IMEFIKA WAKATI TUAMBIANE UKWELI HII BLOG NI NZURI ASANTE MICHUZI KUWAKUBALI HATA MBILIKIMO KUONEKANA KATIKA HII BLOG SIO KINA SABA KIMO TUUUU!

    ReplyDelete
  18. wewe wa mbilikimo subject ni chuki binafsi tu ndio nasema ........na wewe uliyeongezea kuwa unakawaida ya kupata A darasani sasa hivi unafanya kazi gani, unawataja wenzio majina mwenyewe umejificha toka na picha yako ya nondo mojakimo we !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...