Home
Unlabelled
sanford
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Man, Issa, where have u been son, Karigo na Fakihi wako wapi, wow kweli nimeamini ndani ya michu blog machizi kadhaa ambao hujui wamelost wapi unaweza kuwafumania. Yeah, yo keep in touch juma_10027@yahoo.com
ReplyDeleteWape salamu akina Karia na machizan wengine wote. Big up.
Hongera Kaka
ReplyDeletekaka Sanford anarudi bongo kujenga taifa, au ndo kama ionekanavyo pichani hapo, design makaratasi flani ya mamtoni?? Charlotte..lol!!
ReplyDeleteKAKA YANGU MISUPU MBONA UNANIANGUSHA KWANI HUWEZI KUSEMA NAKUNUKUU"....CHUO KIKUU CHA LINCOLN UNIVERSITY...." MWISHO WA KUNUKUU. KAMA UNATAKA SEMA UNIVERSITY OF LINCOLN au CHUO KIKUU CHA LINCOLN. NI KOSA DOGO LAKINI KUBWA HIVYO NATUMAI UTAJIREKEBISHA KWA HILO KWANI NA KWA MDAU MWINGINE HAPO JUU UMEANDIKA HIVYO HIVYO.
ReplyDeleteNakuona Samford,
ReplyDeleteHongera sana, Habari za tokea Old Moshi na Kurasini au ndio Mivinjeni pale? Anyways hongera sana, tutafutane basi au vipi?
muone huyo wa kulia kasimama kama anaimba wimbo wa taifa.. hahahaha
ReplyDeleteMichuzi hivi nimekuelewa? umesema katika picha hii ni wanaume wawili wakiwa na rafiki yao mwanamke mmoja?
ReplyDeleteYaani wanaume wawili wana rafiki mmoja tu wa kike kwenye hii picha?
Mwanamke huyo kweli hana ubaguzi yaani ana rafiki wawili wanaume na wala hawabagui rafiki zake hao kwenye picha wote kawambie karibu tupige wote rafiki zangu.
Mumsalimie.
wee hapo juu acha chuki...huna hata la maana unaloliongea...embu jione??? ...acha chuki!
ReplyDeletempe hi huyo issa
ney,birmingham.
Makala mbwane wa zepya. Apa huyo mnanso ndio msungo ne? watola kuko ne? apa magaye ukikopa ne nwanso?
ReplyDeleteshamaka wazepya mbwane uweeeee
ReplyDeletebaba mama na mtoto mmependeza sana ndugu zangu sasa mama na mwanaye pembeni nondo zenu wapi?
ReplyDeleteBROTHER MICHUZI NAHESHIMU KAZI YAKO HASA ULIVYO INTERNATIONAL FIGURE.ILA SASA???? AAH ANGALIA
ReplyDelete1.CHUO KIKUU CHA LINCOLIN UNIVERSITY KWANI SI SAWA NA KUSEMA BARABARA YA NYERERE ROAD? WAJAMENI.
UKIKANDAMIZA HIVYO NA BLOG ZETU ZITAKUWAJE KAKA MISOUP?????
TEH TEH TEH HUKO BONGO VIPI SIKUKUU KAKA TUNASUBIRI VITU.BYEE
Sanford uko wapi? Tutafutane.. Mohammed Khamis (moody2x@hotmail.com). 0655765447
ReplyDelete