mdau sanford makala akiwa pamoja na mdau wa ukerewe issa (kulia) mara baada ya kula nondozz yake ya mba general chuo kikuu cha lincoln university. katikati ni rafiki yao charrlote. hongera mdau sanford kwa kuendeleza libeneke la elimu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Man, Issa, where have u been son, Karigo na Fakihi wako wapi, wow kweli nimeamini ndani ya michu blog machizi kadhaa ambao hujui wamelost wapi unaweza kuwafumania. Yeah, yo keep in touch juma_10027@yahoo.com
    Wape salamu akina Karia na machizan wengine wote. Big up.

    ReplyDelete
  2. Hongera Kaka

    ReplyDelete
  3. kaka Sanford anarudi bongo kujenga taifa, au ndo kama ionekanavyo pichani hapo, design makaratasi flani ya mamtoni?? Charlotte..lol!!

    ReplyDelete
  4. KAKA YANGU MISUPU MBONA UNANIANGUSHA KWANI HUWEZI KUSEMA NAKUNUKUU"....CHUO KIKUU CHA LINCOLN UNIVERSITY...." MWISHO WA KUNUKUU. KAMA UNATAKA SEMA UNIVERSITY OF LINCOLN au CHUO KIKUU CHA LINCOLN. NI KOSA DOGO LAKINI KUBWA HIVYO NATUMAI UTAJIREKEBISHA KWA HILO KWANI NA KWA MDAU MWINGINE HAPO JUU UMEANDIKA HIVYO HIVYO.

    ReplyDelete
  5. Nakuona Samford,
    Hongera sana, Habari za tokea Old Moshi na Kurasini au ndio Mivinjeni pale? Anyways hongera sana, tutafutane basi au vipi?

    ReplyDelete
  6. muone huyo wa kulia kasimama kama anaimba wimbo wa taifa.. hahahaha

    ReplyDelete
  7. Michuzi hivi nimekuelewa? umesema katika picha hii ni wanaume wawili wakiwa na rafiki yao mwanamke mmoja?

    Yaani wanaume wawili wana rafiki mmoja tu wa kike kwenye hii picha?

    Mwanamke huyo kweli hana ubaguzi yaani ana rafiki wawili wanaume na wala hawabagui rafiki zake hao kwenye picha wote kawambie karibu tupige wote rafiki zangu.

    Mumsalimie.

    ReplyDelete
  8. wee hapo juu acha chuki...huna hata la maana unaloliongea...embu jione??? ...acha chuki!

    mpe hi huyo issa

    ney,birmingham.

    ReplyDelete
  9. Makala mbwane wa zepya. Apa huyo mnanso ndio msungo ne? watola kuko ne? apa magaye ukikopa ne nwanso?

    ReplyDelete
  10. shamaka wazepya mbwane uweeeee

    ReplyDelete
  11. baba mama na mtoto mmependeza sana ndugu zangu sasa mama na mwanaye pembeni nondo zenu wapi?

    ReplyDelete
  12. BROTHER MICHUZI NAHESHIMU KAZI YAKO HASA ULIVYO INTERNATIONAL FIGURE.ILA SASA???? AAH ANGALIA

    1.CHUO KIKUU CHA LINCOLIN UNIVERSITY KWANI SI SAWA NA KUSEMA BARABARA YA NYERERE ROAD? WAJAMENI.
    UKIKANDAMIZA HIVYO NA BLOG ZETU ZITAKUWAJE KAKA MISOUP?????
    TEH TEH TEH HUKO BONGO VIPI SIKUKUU KAKA TUNASUBIRI VITU.BYEE

    ReplyDelete
  13. Sanford uko wapi? Tutafutane.. Mohammed Khamis (moody2x@hotmail.com). 0655765447

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...