kipenzi chetu da' shenz amezikwa wikiendi hii hapa dar baada ya kupoteza maisha kwenye ajali ya basi kule igurusi akitokea tunduma kikazi. shenaz atakumbukwa kama msanii aliyetukuka katika unenguaji na pia kama somo ambapo alikuwa mstari wa mbele kuwapa darasa kinadada wanaotarajia kuolewa.
MOLA AIWEKE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI - AMINA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. RIP Shenaz.
    Mdau wa USA

    ReplyDelete
  2. Wewe Michuzi hebu rekebisha hapo siyo Shenz bali ni Shenaz!

    ReplyDelete
  3. masikini Dada watu mungu ilaze roho yake peponi
    mdau England

    ReplyDelete
  4. Da Shenaz kweli alikuwa mtu wa sanaa tutamkosa sana hasa wale wenzangu wa TCC Club siku ya Jumapili

    ReplyDelete
  5. Mwenyezi mungu ipumzishe roho ya marehemu shenaz mahala pema peponi.AMINA

    ReplyDelete
  6. Hakuna cha uzuri wala nini. Kila mtu atakufa tu! Alikuwa mzuri sijui nini havisaidii hata

    ReplyDelete
  7. RIP SISTER!!!

    ReplyDelete
  8. Mungu ailaze mahari pema peponi roho ya marehemu Shenazi, kweli alikuwa kipenzi cha wengi AMIN

    ReplyDelete
  9. Rest in peace

    ReplyDelete
  10. alikuwa anawagaia watamiss sana! mugongomugongo!

    ReplyDelete
  11. Dada ulinifunda wewe nakushukuru niko kwenye ndoa kwa 7yrs na still goins strong mwenyenzi mungu akurehemu Amina.

    ReplyDelete
  12. Inna lillah...

    Maskini dada amestirika kajipatie kifo chake kisicho na utata ni ajali basi...angeumwa kidogo mbona sasa hivi wadau ingekua mtafutano?mmh dar pangekuwa padogo.Yuo lived your life now rest in peace.Ameen

    ReplyDelete
  13. Mwenyezi mungu amlaze mahali pema na amsamehe Yote mabaya Aliotenda.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...