chai jaba a.k.a mzee pekecha-pekecha akionesha namna ya kupekecha kijoti-joti. huyu ndiye muasisi wa staili ya pekecha-pekecha ya akudo impact.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Bariiidii ehhh baridi ehh baridi ehh...........
    hao ndio wazee wa masauti,Atuni geti redi!!wazee wanakuja kupekecha!!
    Heshima kwenu wazee,kazi nzuriiiiiiiiiiiiiii

    ReplyDelete
  2. Pedejheee Baraka Kapuyaaaaaaa!!!

    ReplyDelete
  3. Sasa Huyu Bwana anayepekecha mbona hana Kijiti wala nini? na huo mkao sio wa kupekecha anaoneka kama anapokea Jungu la Moto na analiogopa? Kupekecha nakokujua mimi shurti upige goti bwana, "Hazingui huyo"

    ReplyDelete
  4. CHAI JABA IS A VERY GOOD MUSICIAN AND HE PERFORMED WELL IN DUBAI AT GARAGE CLUB,AND I HOPE HE WILL GO BEYOND AND MORE THAN THAT.I THINK HE SHOULD START HIS OWN BAND. from her beloved g.f in dubai

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...