waijua tafsiri ya jina kanye kwa kimatumbi? bofya hapa kabla hujapitwa...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Du! Sisi tunamuonea noma tu kumwambia mshikaji lakini jina noma hilo kwa kimatumbi!Hebu fikiria mtu anakuambia namna hiyo mtu mzima si unapigana!

    ReplyDelete
  2. Hahahaha the only one? in his dreams....well labda kimatumbi kweli.

    ReplyDelete
  3. Hawa wazushi tu,maana yake mbona ni easy,ukakunye mangharibi.

    ReplyDelete
  4. Kanye magharibi au kanye kushoto

    Yaani

    Kanye mavi magharibi

    kweli michuzi nilikuwa sijawahi kuifikiria

    umenichekesha leo

    ReplyDelete
  5. ...jamani hiki ni ''Swahili'' ya wapi?

    ReplyDelete
  6. This is too much sasa, huyu jamaa inabidia "akajisaidie huko mashariki"

    ReplyDelete
  7. Kanye kwa Kiswahili maana yake nenda ukajisaidie, labda Kiswahili cha Minnessota maana yake 'the only one'

    ReplyDelete
  8. Tumeshawazowea wamarekani kwa kutunga majina ya ajabu ajabu ilimradi yafanane na ya kiafrika,hili si jina la ajabu la kwanza linalohusishwa na kiswahili.Fikirieni sikukuu ya "kwanza" sijui wanaihusishaje na kiswahili,nijuavyo mimi kwanza ni mwanzo

    ReplyDelete
  9. kuna haja (sio ya choo)huyu jamaa aelezwe maana halisi ya jina lake. Nina uhakika akiambiwa ukweli wa tafsiri, mtasikia kabadilisha jina mara moja! The poor chap - mtu mzima na akili yake he's been calling himself that name without knowing it's real meaning:-(

    ReplyDelete
  10. jamani tusimseme jamaa vibaya labda angeulizwa mama yake alipata wapi?na jee sisi waswahili hatujui maneno yote kwenye kamusi,labda tupitie kwanza kabla ya ku comment vibaya, mimi kwa mawazo yangu labda alivyokuwa mdogo alikuwa anamaanisha {kenyewe}{mwenyewe} ndio 'alone' sasa akitoa 'we'ina baki kenye ,sasa kwa sababu lugha sio yao wazungu tena wakamwita'kanye',hiyo nimejaribu ku derive wamepataje,majina yanaweza yakabadilishwa na waitaji kwa mfano mathew anaitwa matei,sasa ukimwambia mzungu matei atakushangaa,ndio nini hiyo,haya ni mawazo yangu jamani kama kuna mwingine anaweza kusema, kwa hiyo tusiwe negative moja kwa moja

    ReplyDelete
  11. kwa mujibu wa gazeti la timesonline.co.uk la leo (08/10/2007) Kanye ni the only one kwa ki Ethiopia ! Hakuna haja ya kujipigia vigele gele kwa ngoma ya jirani !
    Labda tuulize Michuzi ina maana gani !!!

    ReplyDelete
  12. Go shit on the West side!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...